Je, Waziri wa Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa ni mkwe wa Rais Samia?

Je, Waziri wa Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa ni mkwe wa Rais Samia?

Wrong Question ?

Nadhani swali sahihi ni kama anaweza ?

Kama kuna wawili wote wanaweza na wanavigezo sawa ila mmoja unamfahamu zaidi (hadi amekuwa mkwe wako) sioni ubaya k.. umchukua unless otherwise matatumia kujuana kwenu kuibia taifa..

Nakubaliana nawe . Kama ana vigezo shida iko wapi?
 
Iko poa hii.

Hata kipindi cha utawala wa Nyerere, Maaskari wenye vyeo vikubwa wengi walitoka Musoma.

Mwinyi pia alikuwa na wapambe wake. Mkapa na rafiki zake. JK vivyo hivyo. Zimwi likujualo halikuli ukakwisha
 
Hata kama ni mtendaji mzuri hii si sawa. Ni nepotism kama nepotism zingine. Mbaya zaidi hii ipo kote, kwa watu wa CCM na upinzani pia.
 
Yale yale ya doto jemes hiyo kitu ni dalili mbaya maana akiharibu huwezi kumtengua.usikute wwnatengenezq team ya kutuobia tena kama magu alivyifanya
 
Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS.

Tumekuwa tukiwaandama marais waliopita kuwa wanateua ndugu zao, je na rais wetu anapita mulemule?

Binafsi sina shaka na uteuzi wake kutokana na CV yake. Pamoja na vigezo vingine, mtu huteuliwa kutokana na CV yake.
View attachment 1740159

Hakuna shida yeyote tunacho taka ni kazi!

CCM mbele kwa mbele
 
Hii ni nepotism na haitakiwi kwenye utumishi wa umma
Yaani ukiwa kiongozi wa umma kkimaadili na kuondokana na mgongano wa kimaslai haitakiwi kumpa kazi ndugu yako hata Kama anasifa na vigezo
 
Hata kama ni mtendaji mzuri hii si sawa. Ni nepotism kama nepotism zingine. Mbaya zaidi hii ipo kote, kwa watu wa CCM na upinzani pia.
Labda kwenye conflict of interest ka declare hyo tayari so kwenye baadhi ya maamuzi anakuwa like pembeni, hii hufanyika kwa mashirika makubwa duniani so kwa Tzii sijui hyo ya ku declare conflict if interest.
 
Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS.

Tumekuwa tukiwaandama marais waliopita kuwa wanateua ndugu zao, je na rais wetu anapita mulemule?

Binafsi sina shaka na uteuzi wake kutokana na CV yake. Pamoja na vigezo vingine, mtu huteuliwa kutokana na CV yake.
View attachment 1740159
hapo kwenye phd level? alimaliza phd yake au? maana sioni ajituma dk. flani?
 
Siasa za Tanzania na wafuasi wake ni kama vinyonga na mazingira yaliyomzunguka kinyonga...

Nikikumbuka kelele walizopiga watu juu ya JPM na Dotto James, lakini leo huku kwa SSH hadhira ile ile ina mawazo tofauti juu ya kisa chenye maudhui yaleyale...

Sent from my Nokia 5.4 using JamiiForums mobile app
 
Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS.

Tumekuwa tukiwaandama marais waliopita kuwa wanateua ndugu zao, je na rais wetu anapita mulemule?

Binafsi sina shaka na uteuzi wake kutokana na CV yake. Pamoja na vigezo vingine, mtu huteuliwa kutokana na CV yake.
View attachment 1740159
Nafasi imempata mwenyewe.
 
Hata kama ungekuwa ni wewe una mwanao ana vigezo vinavyotakiwa na kuna kazi utashindwa kumwajiri?
Ukiwa hujapata viroba unaongea mambo ya maana sana.Umeongea pointi ya maana,hongera kamanda
 
Yaani mtu unavyo vigezo vyote eti usipewe nafasi Kwa kuwa tu ni mchumba/, Mkwe/ ndugu wa anayekuteua, hii sio Sawa!!
Kila mtu afe kivyake.

Hakikisha na wewe unachukua kitambulisho cha machinga ili uchape kazi kweriiii kweriiii.

Serikali haiwezi kuajiri kila mtu.
 
Back
Top Bottom