Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Umemaliza kila kitu mkuuSawa tu kama atakuwa ni mtandaji mzuri mimi sina tatizo naye
Undugu siyo tatizo tatizo ni utendaji mzuri wa kaziUmemaliza kila kitu mkuu
Kuna siku nilimsikia muheshimiwa raisi akisema wanaume wa Zanzibar wambeya, sasa sijui alimaanisha na watu kama nyie?Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake na pia ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS. Tumakeuwa tukiwaandama marais waliopita kuwa wanateua ndugu zao, je na rais wetu anapita mulemule?
Binafsi sina shaka na uteuzi wake kutokana na CV yake. Pamoja na vigezo vingine, mtu huteuliwa kutokana na CV yake.
View attachment 1740159
Kikubwa awe na vigezo na ni mtumishi mwemaMmeanza kuwachokonoa watu
Jiwe aliwahi kusema kuwa anaanza kwanza kuwapatia kwanza wabunge wa ccm wakishiba ndiyo anawakumbuka wapinzaniHata mie nikipata nafasi natengeneza kwangu kwanza
Inawezekana maana kitanda usicho kilalia huwezi kujua wingi wa kunguni wake.Kuna siku nilimsikia muheshimiwa raisi akisema wanaume wa Zanzibar wambeya, sasa sijui alimaanisha na watu kama nyie?
SahihiHakuna tatizo kama anavigezo viumbe vyote huwa na amani pale vinapozungukwa na viumbe wenye nasaba moja au jamii moja