KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
🗣️ "Hongera sana Jeff Besoz kwa kufanikiwa kufika katika orbit katika jaribio la kwanza kabisa la rocket ya New Glenn" Ameandika Elon Musk .
— Mmiliki wa kampuni ya SpaceX amempatia Hongera zake mmliki wa kampuni ya Blue Origin mara baada ya kufanikiwa kurusha rocket yao na kufankiwa kufika katika orbit ya dunia kwa mara ya kwanza .
— Wazungu hawana unafiki kabisa, ni jambo la nadra sana kwa baadhi ya watu kuweza kumpatia mwenzake hongera katika jambo lake alilolifanikiwa tena ukiangalia jambo hilo pengine kwa asilimia kubwa linakwenda moja kwa moja kukupa challenge katika jambo unalolifanya wewe ni ngumu sana .
— Elon Musk tajiri namba 1 duniani alimwandikia ujumbe mrefu bwana Jeff Besoz ambaye ni tajiri namba 2 ya kuwa twende tukaliendeshe ghurudumu hili kwa pamoja na tupeperushe bendera ya Marekani katika masuala ya anga za mbali ili tuweze kufikia malengo ya kuchunguza dunia kwa pamoja na kuwapa watu gharama nafuu za usafirishaji wa anga za juu .
— Utakumbuka kuwa hawa jamaa walianza pamoja harakati za kimaisha tangu vijana ambapo Elon Musk yeye alianza kutafuta maisha kwa kuutanda program ya Paypal na baadae aliuza , na Jeff Besoz yeye alianza maisha yake kwa kuunda program ya Amazon ile ya mauzo mtandaoni ambapo mpaka sasa amewaachia watu wengine ili yeye awekeze nguvu katika kampuni yake ya rocket ya Blue Origin .
Marekani iko katika mikono salama kwenye masuala mazima ya chunguzi za anga za juu na kulitawala anga .
— AstronomyKiswahili