Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

is your witchcraft can't let her back.? Or money has power than witchcraft!!
I'm barobaro a handsome from saturn i wanna take her!! But who took her.?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Jr[emoji769]
 
she still wearing glass the same as you.. but i think there was something went wrong.. i just wanna take her!
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji35][emoji34]

Jr[emoji769]
 
8bfc5dd1ef4f2be54a724b9960597130.jpg
naona unataka ulete habari za makinikia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
BTW iko hivi dunia inaendeshwa na mashariki ya kati kupitia Israel ( taifa teule?) Na anayetumika kufanya hiyo kazi ni mzungu kwa maelekezo ya Israeli
Israel ya sasa sio Israeli halisi,ni uongo nashangaa sana makanisani mnapoambiwa muiombee Israel hii ya sasa,inayoua watoto na wanawake ili wajimilikishe ardhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Warumi si ndio hao waroma. Waitalia ndio warumi kwahiyo hata wazungu ni watu waasili ya Dunia hii. Na hata kanisa la katoliki asilia yake ni Ulaya Rome Italy kipindi hicho Roman empire ndio iliyotawala dunia
View attachment 535737kuna vitu vingi vya kushangaza mno, ambavyo kutokana na kutwezwa na mahangaiko ya dunia tunakosa muda wa kuvitafakari
1. Dunia ya Mungu ilikuwa mashariki ya kati?
Hapa ndio kama Mungu alipatambua kama uumbaji wake! Si kwamba hakukuwa na maisha mengine la hasha yalikuwepo! Soma habari za Lilith au Kaini kwenda kuoa 'huko kwingine' baada ya kumuua ndugu yake!

2.Dini zote zinazoamini katika uwepo wa Mungu asili yake ni mashariki ya kati, hata katika misahafu tunachosoma kwa sehemu kubwa sana ni habari za mashariki ya kati..
Habari na matukio makuu ya dunia yote ni hapo
- Bustani ya Eden
- Mnara wa Babel
-Gharika ya Nuhu
-Sodoma na Gomorah etc etc
Kuna mahali kwenye kitabu cha Mithali tunaaswa kutafuta elimu hata mpaka China! Kwa hiyo hii ilikuwepo pia

3. Historia ya mzungu haiandikwi popote (I may be corrected) ama inaandikwa kwa uchache! Africa ilijulikana kwa Mungu(aliitambua pia) soma habari za mafarao na mfalme Suleiman na Cheopatra na asili zao!

4. Mzungu ni mvamizi wa dunia( possibly Alien ama mkuzimu) cha kushangaza mno ndio tunamchukulia kama uzao wa Mungu kutokana na yote aliyoyafanya ya kushangaza hapa duniani hasa kwenye tech
Kwa kutumia ufahamu wake na uwezo wake mkuu mzungu amejitahidi kuidanganya na kuiaminisha dunia kuwa yeye ndio kiumbe bora zaidi duniani( haya matangopori wamelishwa wengi na kuvimbiwa)
Kwa kutumia ushawishi wake huo ameweza kuigeuza historia ya dunia na kuweka mapicha yake kutuaminishaView attachment 535749 Mambo yote mabaya yana mkono wa mzungu...mipango ya muda mrefu na ya siri sana ya kutaka kuangamiza uzao wa dunia je ni hofu kuwa wenye dunia yao kuna siku watakuja kuamka na kufunuliwa ukweli?
Hofu ni ya nini mpaka alete utambulisho wa microchips mwilini?
Hofu ya nini mpaka aanzishe projects nyingi za kuleta na kueneza imani zinazopingana na Mungu?
Hofu ni ya nini mpaka yale mambo ambayo ni chukizo mbele za Mungu yeye ayashadadie kwa kiwango cha juu mno?
Hofu ni ya nini mpaka aendelee kuichonganisha na kuipiganisha mashariki ya kati kila uchao?
Utajiri wa dunia (mafuta na madini) kwa sehemu kubwa vinapatikana hapo mashariki ya kati na Africa! Huko kwingine Mungu hakukubariki! Huko ndiko alikotokea Lilith! Huko ndiko asili ya Kaini alikimbilia! Huko ndiko kulikolaaniwa na Mungu ndio maana hawakubarikiwa chochote cha asili (wengi hawatanielewa)
Huko ndiko walikotikea wale wanefili majitu makubwa
Kila kitu kina pande mbili hasi na chanya! Mzungu anajua upande wa hasi ni upi ndio maana haachi kuhangaika na kule kulikobarikiwa

WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA! MUNGU HAJAWAHI KUSHINDWA
 
Afrika nchi ya Misri si ipo Mashariki ya Kati. Na kule Sudan iliitwa kushites empire maanake kush ni mtu mweusi.
Kweli kiongozi Asili ya ulimwengu ni mashariki ya kati na si vinginevyo.Mitume wote wametoka hapo hakutoka hata mmoja Ulaya wala Amerika wala Africa japo haikuwepo zama hizo.
 
Warumi si ndio hao waroma. Waitalia ndio warumi kwahiyo hata wazungu ni watu waasili ya Dunia hii. Na hata kanisa la katoliki asilia yake ni Ulaya Rome Italy kipindi hicho Roman empire ndio iliyotawala dunia
Ok asante kwa ufafanuzi
 
Nabii mossa alitokea wapi? Au Egypt sio Africa
Misri ni Afrika Kwa mfalme Farao kumbuka kule Misri mpaka leo kun zile pyramids walizojengaga hao waisrael kule Misri Ila pia hizo pyramid zingine zipo mpaka Sudan . Misri zamani ilikuwa mpaka sudan
 
Afrika nchi ya Misri si ipo Mashariki ya Kati. Na kule Sudan iliitwa kushites empire maanake kush ni mtu mweusi.
Mmh... Kwahiyo wakush maana yake ni weusi?! Nadhani nina mada yake ngoja niicheki
 
Afrika nchi ya Misri si ipo Mashariki ya Kati. Na kule Sudan iliitwa kushites empire maanake kush ni mtu mweusi.
 
watu weupe wana roho ya kishetani kama asili yao ilivyoo, wanaenda kinyume na mipango ya Mungu kwasababu hawakupangwa kwenye list ya Mungu
kutokana na husda zao na wivu basi wanafanya kila jambo kupoteza asili ya binadamu wa kwanza na kushape kila jambo kwenye uongo wao kuanzia habari ya Yesu, na habari za misri zote kijumla
kwaiyo mwisho wa siku kama wewe ukiujua ukweli hata kama kidogo utabaki kuwadharau tu!
vilevile wadau haya mambo yanaitaji ufatiliaji wa vitabu na kuunganisha dot kwenye mambo yanayoteka sasa ndio kupata majibu
Yaani ukienda deep kidogo utaona ukweli flani hivi ulojificha, ambao labda umefichwa maksudi ili wajanja waishi vizuri, au baadhi ya wachungaji wetu vilaza hawajui zaidi ya kupiga zaka na sadaka za wasojua kitu,

Mkuu wa kaya aliwahi tamka kwa kauli yake mwenyewe kabisa kuwa '' Mshike sana Elimu usimuache aende zake'' sasa huyu Elimu siku hizi anapatikana kirahisi tu km humu JF, sasa twende kazi;

Amos 9;7 are you! not like sons of Cush onto me?. oh! children of Israel,
hapa Mungu anawalinganisha wayahudi na weusi Yaani Cush.( wa Ethiopia leo!) kumbuka haikuwahi kukoloniwa hii nchi. Tangu zama za kuwepo kwayo! au tuseme since from Biblical era.

kichekesho sasa mzungu anajiita yeye ndiyo children of Isarael. upotoshaji huu!!!

Zephania 3;10 From Beyond the rivers of Cush my Worshipers and the daughters of my dispersed one shall bring mine offerings. ( as per KJV, Bible)
zingatia hili neno ''shall'' !!!!

Cush ki-Biblia ni Ethiopia ya leo! Nga'ambo ya mito? yani Blue Nile na White Nile na mingine, ni Kenya mpaka South Africa, Nabii huyu alitabiri haya wakati wa Agano la kale akiwa anaishi Middle East ya leo!

OK! km haitoshi prophet;
Jeremiah, 50;41 alitabiri,'' Be hold a people shall come from the North and Great Nationals and many Kings shall be rises, aliyatamka haya akiwa nchi ya Israel ya leo,

Yaani watu hao mizuka ni Wazungu mmoja wao akiwa ni Jemedari mkuu Alexander -(Giriki huyu) mpaka leo kumbukumbu yake ipo, na mmeikariri sana shule za msingi, kumbuka Bandari yenye kina kirefu Africa ni......iko.....,

Hellenistic Era, Roman empire nk, waliibukapia na kutawala, hawa wote asili yao ni kutoka mapango ya Caucasus Mountain cave,

Neno linatanabaisha Huko North ndiyo Makao makuu ya Shetani, na ndiko watu wake walipo toka;

Isaiah 14;13 Shetani aliahidi ''You said in your heart ... ''I will preside in the Mountain of the gods far away in the North (kaskzn ya Dunia)........ sit upon the Mountain of congregation.... Haya ndiyo mapango ya Milima ya Cauccasian, ambako Wazungu, walijitokeza yaani weupe wote, na kuja south mwa Bara Ulaya, kuua na kutawala.

Tangu waibuke ni miaka 7000 tu iliyopita. pamoja nakula Bata karne zote hizo, bado tunaenda sambamba kwa Idadi ya watu wamejitahidi sana kutupoteza kabisa au ili tupungue, lkn ndo kwanza tunazidi .kuwazidi, yaani tunakuwa km Nyota za angani. hazihesabiki!

sasa jiulize kwa nini hawa Majemedari Wazungu wa mwanzo hawakwenda West Europe km UK, Germany wala East Europe km Japani, ambako kumeendelea?. badala yake wakaja North Africa kwa ma-Pharaoh! weusi, Mesopotamia.

Roman; inasema all Israelites shall be saved!!

White people didn't come to prominence during Old testament rather than being Predicted by scriptures. But walisikika Agano jipya wakati wa Utawala wa WARUMI. ujio wao ulitabiriwa tu na manabii wa kale km hao!
huwa nalinganisha sana na ndoto ya Kimweri kuhusu MATUPINKERE!!! kwa wale mnao kumbuka hadthi hii!
TUJIFUNZE LUGHA YETU KITABU CHA....
 
Back
Top Bottom