Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

View attachment 535737kuna vitu vingi vya kushangaza mno, ambavyo kutokana na kutwezwa na mahangaiko ya dunia tunakosa muda wa kuvitafakari
1. Dunia ya Mungu ilikuwa mashariki ya kati?
Hapa ndio kama Mungu alipatambua kama uumbaji wake! Si kwamba hakukuwa na maisha mengine la hasha yalikuwepo! Soma habari za Lilith au Kaini kwenda kuoa 'huko kwingine' baada ya kumuua ndugu yake!

2.Dini zote zinazoamini katika uwepo wa Mungu asili yake ni mashariki ya kati, hata katika misahafu tunachosoma kwa sehemu kubwa sana ni habari za mashariki ya kati..
Habari na matukio makuu ya dunia yote ni hapo
- Bustani ya Eden
- Mnara wa Babel
-Gharika ya Nuhu
-Sodoma na Gomorah etc etc

Kuna mahali kwenye kitabu cha Mithali tunaaswa kutafuta elimu hata mpaka China! Kwa hiyo hii ilikuwepo pia

3. Historia ya mzungu haiandikwi popote (I may be corrected) ama inaandikwa kwa uchache! Africa ilijulikana kwa Mungu(aliitambua pia) soma habari za mafarao na mfalme Suleiman na Cheopatra na asili zao!

4. Mzungu ni mvamizi wa dunia( possibly Alien ama mkuzimu) cha kushangaza mno ndio tunamchukulia kama uzao wa Mungu kutokana na yote aliyoyafanya ya kushangaza hapa duniani hasa kwenye tech

Kwa kutumia ufahamu wake na uwezo wake mkuu mzungu amejitahidi kuidanganya na kuiaminisha dunia kuwa yeye ndio kiumbe bora zaidi duniani( haya matangopori wamelishwa wengi na kuvimbiwa)

Kwa kutumia ushawishi wake huo ameweza kuigeuza historia ya dunia na kuweka mapicha yake kutuaminishaView attachment 535749

Mambo yote mabaya yana mkono wa mzungu...mipango ya muda mrefu na ya siri sana ya kutaka kuangamiza uzao wa dunia je ni hofu kuwa wenye dunia yao kuna siku watakuja kuamka na kufunuliwa ukweli?

Hofu ni ya nini mpaka alete utambulisho wa microchips mwilini?

Hofu ya nini mpaka aanzishe projects nyingi za kuleta na kueneza imani zinazopingana na Mungu?
Hofu ni ya nini mpaka yale mambo ambayo ni chukizo mbele za Mungu yeye ayashadadie kwa kiwango cha juu mno?
Hofu ni ya nini mpaka aendelee kuichonganisha na kuipiganisha mashariki ya kati kila uchao?

Utajiri wa dunia (mafuta na madini) kwa sehemu kubwa vinapatikana hapo mashariki ya kati na Africa! Huko kwingine Mungu hakukubariki! Huko ndiko alikotokea Lilith! Huko ndiko asili ya Kaini alikimbilia! Huko ndiko kulikolaaniwa na Mungu ndio maana hawakubarikiwa chochote cha asili (wengi hawatanielewa)
Huko ndiko walikotikea wale wanefili majitu makubwa

Kila kitu kina pande mbili hasi na chanya! Mzungu anajua upande wa hasi ni upi ndio maana haachi kuhangaika na kule kulikobarikiwa

WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA! MUNGU HAJAWAHI KUSHINDWA
 
Mkuu sasa hivi hatumtegemei mzungu,kila kitu kimehamia China.Kila ninachokitumia hapa kimezalishwa China.Vya mzungu labda mitumba tu.Mzungu hutumia akili za wengine kuwatawala.Vyuo vikuu vya ulaya vimejaa wageni wa mabara mbalimbali wakati vyuo vikuu vyetu vimejaa wazawa, unafikiri mtakuwa saw a.China imestuka haitaki kutumika na iwapo mchina ataenda kusoma ulaya ataenda kwa musheni maalumu sio kama waafrika wanaenda kusoma ulaya ila hawajui wanaenda kufanya nini.

Sijawahi kujua hilo. Kumbe wabongo tunaenda vyuo vya kata huko ulaya sio!!? Ni bora kuimarisha elimu yetu ya ndani kama ni hivyo. R.I.P education
 
[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
Sijawahi kujua hilo. Kumbe wabongo tunaenda vyuo vya kata huko ulaya sio!!? Ni bora kuimarisha elimu yetu ya ndani kama ni hivyo. R.I.P education

Jr[emoji769]
 
In short...;

Hapo zamani kabla ya wanadam kuwepo duniani kulikuwepo viumbe wengine waloishi. Yaani shetani na mapepo wengine. Kabla ya kumuasi Mungu hawakujulikana kwa ubaya. Baada ya kumuasi Mungu ndipo wakaitwa Masheitwan/Mashetani. Hawa viumbe waliumbwa kwa nature yao yenye nguvu na uhodari wa kufanya kila kitu, wao hawakuwa na miili kama ya kwetu na walikuwa na uwezo wa kujibadili kitu wanachotaka. Off course walipendelewa saana. Baadae kiongozi wao mkuu ambaye ndo Lucifer kwa leo, aliwaongoza ktk kumuasi muumba wao. Na hivyo wakatoweshwa tena kuishi maisha yao ya kawaida. Walilaaniwa kuishi kwa kutangatanga huku na huko. Ndo maana leo hii wanaishi Chini ya bahari, chooni, majalalani na kwenye miti mikubwa. Mjue kwamba nao hawa huishi kwa ranks na maagizo ya mkuu wao. (stori ni ndefu saana naeleza kifupi tu)

Wazungu (white people woote ie. Sijui wachina, waarabu, wahindi etc.) ni vizalia wa fallen angels (MASHEITWAN/MASHETANI). Adam na Hawa waliumbwa wakiwa kama na rangi ya mbao hivi, chokoleti si chokoleti, yaan ka tulivyo sisi, na walikuwa na miili mikubwa sio ka yetu. Mungu akawaweka ktk bustani nzuuri waanzishe kizazi kingine hapa duniani, baada ya kutoweshwa masheitwan. Bustan hio inajulikana kwa jina la EDEN siku hizi. Badae fallen angel/sheitwan akawatokea na kuaanza kuwafundisha namna ya kumuasi Mungu kupitia mkewe Adam, hii yote ilikuwa ni sababu ya wivu juu ya ahadi za Mungu kwa kiumbe kipya (binadam).

Ilichukuwa karne nyingi saana Adam kukubali kuingia dhambini, lakini kwa ushawishi wa mke aliempenda ilibini Adam naye aanguke dhambini. Wakapata laana ya Mungu, wakafukuzwa bustanini wakale kwa jasho na kuzaa kwa uchungu. Kabla ya hapo wala hawakula kwa jasho na hata Hawa hakuzaa kwa uchungu, ni baada ya laana vitu vyote vika-change.

Baada ya maisha kuendelea kwa muda mrefu kizazi cha Adam kikiwa ktk laana ya dhambi, bado dhambi iliendelea kuwatafuna. Ndipo mashetwan wengine huwaita fallen angels walikuja kuanza kuwaingilia kimwili mabinti na wanawake wazuuri wa uzao wa nabii Adam. Wakaanza kuzaa majitu ya ajabu meupe(hapa ndipo white people walipoanzia), macho ka ya paka, blue eyes, yenye akili zisizo za kawaida na kila aina ya tabia chafu hadi ya kuwala wanadam. Mungu akaleta gharika kufutilia mbali maasi hayo. Lakini bado masalia ya vizazi hivyo (vya mashetwan a.k.a fallen angels) na mabadiliko mbalimbali ya kiumbo yaliendelea kusalia, ambao ndo all white people today.

Chunguzeni any white people hadi leo, wanaendelea kumfundisha dhambi mtu mweusi. Mfano porn, (Black man alikuwa na staili moja tu ya ku-do, kifo cha mende), but today, mdomoni, nyuma etc., sex na wanyama, uchonganishi wa kivita, wizi wa mali ghafi, kumtoa ktk kuamini Mungu Mwenye-enzi. Namengineyo.

White people till tomorrow is in mission to wipe out a black race through WMD, BIOWEAPONS or BY ANY MEANS.

Nimejtahdi kueleza kwa ufupi saana, kisa cha white people against black race ni kirefu mno.

Maarifa haya yanapatikana ktk QURAN na vitabu vya kale vya ufunuo, nje ya Bible.

Wishing you the best.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kuzungumzia kuhusu mzungu nadhani ni bora tuzungumzie ipi haswa ni asili yetu watu weusi?,
kila kitu kinaelezwa ndani ya biblia, baada ya gharika ya nuhu ambaye alikuwa na wanaye watatu, ham, shem na sijui yafethi hivi, ikatokea mmojawapo akalaaniwa na baba yao(mzee nuhu) ndio kuanzia hapo huyo mwana aliyemlaani akawa anaitwa 'kushi' maana yake ni black, na huyo ndiye baba wa blacks wote
Kush hakulaaniwa, alilaaniwa mwingine ila kush ndio akazaa weusi na Yesu alitokea ukoo wa kush kwa hiyo hauwezi kuwa ulikuwa umelaaniwa. By the way inasemekana kuwa yesu alikuwa black ila wazungu wakatubrain wash
 
Mkama Yesu ametokea Cush?
 
View attachment 535737kuna vitu vingi vya kushangaza mno, ambavyo kutokana na kutwezwa na mahangaiko ya dunia tunakosa muda wa kuvitafakari
1. Dunia ya Mungu ilikuwa mashariki ya kati?
Hapa ndio kama Mungu alipatambua kama uumbaji wake! Si kwamba hakukuwa na maisha mengine la hasha yalikuwepo! Soma habari za Lilith au Kaini kwenda kuoa 'huko kwingine' baada ya kumuua ndugu yake!

2.Dini zote zinazoamini katika uwepo wa Mungu asili yake ni mashariki ya kati, hata katika misahafu tunachosoma kwa sehemu kubwa sana ni habari za mashariki ya kati..
Habari na matukio makuu ya dunia yote ni hapo
- Bustani ya Eden
- Mnara wa Babel
-Gharika ya Nuhu
-Sodoma na Gomorah etc etc

Kuna mahali kwenye kitabu cha Mithali tunaaswa kutafuta elimu hata mpaka China! Kwa hiyo hii ilikuwepo pia

3. Historia ya mzungu haiandikwi popote (I may be corrected) ama inaandikwa kwa uchache! Africa ilijulikana kwa Mungu(aliitambua pia) soma habari za mafarao na mfalme Suleiman na Cheopatra na asili zao!

4. Mzungu ni mvamizi wa dunia( possibly Alien ama mkuzimu) cha kushangaza mno ndio tunamchukulia kama uzao wa Mungu kutokana na yote aliyoyafanya ya kushangaza hapa duniani hasa kwenye tech

Kwa kutumia ufahamu wake na uwezo wake mkuu mzungu amejitahidi kuidanganya na kuiaminisha dunia kuwa yeye ndio kiumbe bora zaidi duniani( haya matangopori wamelishwa wengi na kuvimbiwa)

Kwa kutumia ushawishi wake huo ameweza kuigeuza historia ya dunia na kuweka mapicha yake kutuaminishaView attachment 535749

Mambo yote mabaya yana mkono wa mzungu...mipango ya muda mrefu na ya siri sana ya kutaka kuangamiza uzao wa dunia je ni hofu kuwa wenye dunia yao kuna siku watakuja kuamka na kufunuliwa ukweli?

Hofu ni ya nini mpaka alete utambulisho wa microchips mwilini?

Hofu ya nini mpaka aanzishe projects nyingi za kuleta na kueneza imani zinazopingana na Mungu?
Hofu ni ya nini mpaka yale mambo ambayo ni chukizo mbele za Mungu yeye ayashadadie kwa kiwango cha juu mno?
Hofu ni ya nini mpaka aendelee kuichonganisha na kuipiganisha mashariki ya kati kila uchao?

Utajiri wa dunia (mafuta na madini) kwa sehemu kubwa vinapatikana hapo mashariki ya kati na Africa! Huko kwingine Mungu hakukubariki! Huko ndiko alikotokea Lilith! Huko ndiko asili ya Kaini alikimbilia! Huko ndiko kulikolaaniwa na Mungu ndio maana hawakubarikiwa chochote cha asili (wengi hawatanielewa)
Huko ndiko walikotikea wale wanefili majitu makubwa

Kila kitu kina pande mbili hasi na chanya! Mzungu anajua upande wa hasi ni upi ndio maana haachi kuhangaika na kule kulikobarikiwa

WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA! MUNGU HAJAWAHI KUSHINDWA

Naomba kuuliza. Kitabu unachokitumia kama reference hakijaletwa na Mzungu?
 
Waliposema akili nying huondoa maarifa na ndicho kinachokusumbua ww mshana hao wazungu uliowataja
HISTORICALLY asili ya mzungu ni sokwe anstralopithocas ambae alikimbilia FAR NORTH na sio masharik ya mbal maeneo ambayo yana barid kali na huko ndiko asili ya rangi yao wanahistoria wanasema anstralopithocas alikuwa na ubongo mkubwa kuliko lile sokwe lililoachwa africa ambae ndio asili ya mwafrica

Apo juu nimeongea kuhusu EVOLUTION tuje kwenye CREATION apo ndipk balaa na siri anaijua MUNGU tu ktk uumbaji hatukuambiwa km adam na eva ni wazungu na je adam na lilith ni wazungu hatujui ila hata manabii km musa. Nuhu nk bdo kuna utata juu ya asili zao tunaambiwa tu ni waarabu na wengine ni wazungu hakuna nabii mweusi huu ni uongo mkubwa zipo nazalia zinazodai musa alikuwa muafrika

Nachotaka kukuambia ndugu mshana jr wazungu si aliens wala si uzao wa majin wala c uzao wa lilith bali wazungu ni binadamu km sisi tu na asili zetu ni moja isipokuwa tulitRafikiana apa dunian kutokana theolojia mbalimbali km vile environment.resources .air conditions .weather . Faith nk kutokana na hz hali pamoja na ile ya DNA reaction ndipo pakazaliwa matabaka wahindi.wachina.waarabu wazungu.wasomali nk lkn wote hawa asili ni moja

Kuhusu swala la mzungu kusupport upumbavu ndio ile nadhalia niliokuambia apo juu akili nying huondoa maarifa na ndio maana USHOGA ni jambo la kawaida uko majuu ndio madhara ya technologia kadr tecbnologia inavyopanda ndio upuuz utapanda usagaji.ushoga ulevi.bangi.madawa ya kulevya .weed .ponograph yote ayo ni madhara ya technolojia

AKIL NYING HUONDOA MAARIFA
 
Unataka kutengeneza point nzuri lakini unashindwa pengine kutokana na uelewa finyu ama kutaka kuonesha kuwa unajua zaidi na pengine ego ya kawaida ya kibinadamu kwa kutoa hukumu bila kutafakari unatoa hukumu kwenye nini

Back
Top Bottom