Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

Unataka kutengeneza point nzuri lakini unashindwa pengine kutokana na uelewa finyu ama kutaka kuonesha kuwa unajua zaidi na pengine ego ya kawaida ya kibinadamu kwa kutoa hukumu bila kutafakari unatoa hukumu kwenye nini

Jr[emoji769]
Nilijua lazima kwanza uniponde ili niwe disappointed afu ndio uweke mbariga zako nadhani jibu langu apo juu lilitosha kabisa ningetaka kujitia mjuaji ningetumia lugha xaid ya kisayans lkn niliamua kutumia kizaramo ili twende yote 9 kumi bdo ukadai najitia mjuaji africa kichwa ya mwendazimu
 
White people are the descendants of the fallen angels
Duh !! Hii kidogo km inq ukwel maana histpria inasema kuna malaika waliwah kuhasi mbingun wakaja on earth na ndio wakafanya uhalamia km kufanya ngono na binadamu na kuwafundisha uchawi japo hatukuambiwa kizaz chao kiliteketezwa au kiliachwa
 
Kush hakulaaniwa, alilaaniwa mwingine ila kush ndio akazaa weusi na Yesu alitokea ukoo wa kush kwa hiyo hauwezi kuwa ulikuwa umelaaniwa. By the way inasemekana kuwa yesu alikuwa black ila wazungu wakatubrain wash
Hii ni kwel na Musa ni mweusi afu falao ni muafrica maji ya kunde km wema
 
Naona bado hujanielewa halafu una haraka ya kuchangia... Hebu tulia kidogo.. Chukua muda wa kutafakari kabla hujajibu.. Usiwe too defensive.. Hizi sio siasa haya ni maarifa tunaelimishana kwa weledi na hoja
Nilijua lazima kwanza uniponde ili niwe disappointed afu ndio uweke mbariga zako nadhani jibu langu apo juu lilitosha kabisa ningetaka kujitia mjuaji ningetumia lugha xaid ya kisayans lkn niliamua kutumia kizaramo ili twende yote 9 kumi bdo ukadai najitia mjuaji africa kichwa ya mwendazimu

Jr[emoji769]
 
Elimu kubwa sana hii
8bfc5dd1ef4f2be54a724b9960597130.jpg
naona unataka ulete habari za makinikia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
BTW iko hivi dunia inaendeshwa na mashariki ya kati kupitia Israel ( taifa teule?) Na anayetumika kufanya hiyo kazi ni mzungu kwa maelekezo ya Israeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kiongozi Asili ya ulimwengu ni mashariki ya kati na si vinginevyo.Mitume wote wametoka hapo hakutoka hata mmoja Ulaya wala Amerika wala Africa japo haikuwepo zama hizo.
musa alizaliwa africa
 
watu weupe wana roho ya kishetani kama asili yao ilivyoo, wanaenda kinyume na mipango ya Mungu kwasababu hawakupangwa kwenye list ya Mungu
kutokana na husda zao na wivu basi wanafanya kila jambo kupoteza asili ya binadamu wa kwanza na kushape kila jambo kwenye uongo wao kuanzia habari ya Yesu, na habari za misri zote kijumla
kwaiyo mwisho wa siku kama wewe ukiujua ukweli hata kama kidogo utabaki kuwadharau tu!
vilevile wadau haya mambo yanaitaji ufatiliaji wa vitabu na kuunganisha dot kwenye mambo yanayoteka sasa ndio kupata majibu
mbona ndio wamebarikiwa maendeleo katika kila njanja
 
DNA ina react km unabisha waje apa wanasayansi mchina akizaa na black mean DNA ya mchina imereact na ya black so mtoto anaweza zaliwa black chinese

Na swali la mabadiliko ya DNA linachukua million years kwa mantiki iyo hutoweza kuona mabadiliko yyote apa dunian

Miaka million mia moja ijayo unajua nn kitakuwepo dunian ? Ngoja nitabir kutakuwa na technolojia ya hali ya juu watu wataweza kusafir bara moja adi jingine sayar moja adi nyingine within seconds using advanced rockets sokwe.aliens na viumbe ambavyo ni specie ya binadamu vitaweza kuzaliana wanasayans watalazimika kuforce ayo yatokee ili kudevelop new idea binadamu anaonekana ameishiwa mawazo aliebuni umeme ndie anasadikika kufanya kitu bora zaid toka afe uyo hamna chengine saiz kila kitu ni umeme
Kwa hiyo DNA copy ina under go chemical reaction? halafu ina tengeneza kichina-black? Mullatoes imetokana na Mule, so long as umezaliwa na Cauccasians utakuwa kundi hili, na hawa siyo Wa- africa hata wao hawataki kujitanabaisha hivyo!

Hayo ya kusafiri Anga za mbali miaka million ni mingi sana, sasa hivi SOYUZ shuttle inaenda ISS kwa masaa sita tu. sasa hivi kuna Human cloning, hawana baba wala mama, na tunaishi nao! humu! wapiganaji wa Al shaabab wengi ni human cloning!

Baadhi ya Viongozi wa Ulaya wako kundi hili, saa ngapi mtu aka hangaike na kumpiga miti nyani? Binadamu hata ishiwa mawazo, kumbuka Yesu aliwahi sema hakuna jipya chini ya Jua, yote mnayo yaona yalikuwepo!

Haya maendeleo unayo yaona leo ni cha mtoto, kabla ya gharika, kulikuwa na maendeleo si kitoto, na hatujafikia hata robo, Bara la LIMULIA, & ATLANTIDAS yalikuwa mbali kisayansi, watu walikuwa hawafi wali mould- incarnation. ukinyanyua mkono tu tayari uko kizio cha kaskazini.

Hii sayansi adimu ilizamishwa Bermuda triangle, over one Night hkn kilichopona zaidi ya Egyptian Pyramids, mpaka leo vyombo vya anga na Majini havikatizii eneo hili. wanacho fanya wazungu leo ni ku-Copy na ku- Paste. ndiyo maana Egyptology & excavation sites zote Duniani hkn Mswahili hata mmoja.

Kizazi kilichoponea chupuchupu ni Blue eyed Aryan. ndiyo wana hiyo siri mpaka leo! wazungu wote wanawaheshimu na kuzima Sigara zao! hao ndiyo walifanya Ulaya ikanyanyuka ki hali zote, kijeshi, uchumi, Siasa Duniani. Majemedari wote hatari walioongoza vita ya kuikomboa Ulaya, kwa mafanikio km Chale Mange walitoka hapo.
 
mbona ndio wamebarikiwa maendeleo katika kila njanja
Luka 4:5-7 "Kisha shetani akamchukua hadi juu ya mlima mrefu akamwonesha kwa mara moja milki zote za dunia. Akamwambia 'ukipiga magoti na kuniabudu nitakupa uwezo juu ya milki zote hizi na fahari yake,maana ni zangu na ninaweza kumpa yeyote yule nitakaye"

Hakuna cha kubarikiwa na Mungu hapo, fungu hilo linaeleza nani aliewafanya wakawa na hivyo vyote.Walimwabudu- akawapa
 
Ukoo wa Cush
Daaa! asante sana Mkuu, sikujua yaani nitaringa sana hallow! mpaka Mungu asikie! nimeona ka ukweli flani hivi! kumbe mimi ni Ukoo wa Daudi? Abraham, Rafiki wa Mungu.

JF ibarikiwe, nimekaa kanisani SDA miaka 20 Sikuyajua haya! ama kweli hawa ni wapigaji, yale mazungumzo ya Mungu na Babu yangu Abraham nayafufua rasmi usiku huu! yaani hata Wazungu/ wahindi wa kariakoo wanibague nawaona km takataka!
 
Kwa hiyo DNA copy ina under go chemical reaction? halafu ina tengeneza kichina-black? Mullatoes imetokana na Mule, so long as umezaliwa na Cauccasians utakuwa kundi hili, na hawa siyo Wa- africa hata wao hawataki kujitanabaisha hivyo!

Hayo ya kusafiri Anga za mbali miaka million ni mingi sana, sasa hivi SOYUZ shuttle inaenda ISS kwa masaa sita tu. sasa hivi kuna Human cloning, hawana baba wala mama, na tunaishi nao! humu! wapiganaji wa Al shaabab wengi ni human cloning!

Baadhi ya Viongozi wa Ulaya wako kundi hili, saa ngapi mtu aka hangaike na kumpiga miti nyani? Binadamu hata ishiwa mawazo, kumbuka Yesu aliwahi sema hakuna jipya chini ya Jua, yote mnayo yaona yalikuwepo!

Haya maendeleo unayo yaona leo ni cha mtoto, kabla ya gharika, kulikuwa na maendeleo si kitoto, na hatujafikia hata robo, Bara la LIMULIA, & ATLANTIDAS yalikuwa mbali kisayansi, watu walikuwa hawafi wali mould- incarnation. ukinyanyua mkono tu tayari uko kizio cha kaskazini.

Hii sayansi adimu ilizamishwa Bermuda triangle, over one Night hkn kilichopona zaidi ya Egyptian Pyramids, mpaka leo vyombo vya anga na Majini havikatizii eneo hili. wanacho fanya wazungu leo ni ku-Copy na ku- Paste. ndiyo maana Egyptology & excavation sites zote Duniani hkn Mswahili hata mmoja.

Kizazi kilichoponea chupuchupu ni Blue eyed Aryan. ndiyo wana hiyo siri mpaka leo! wazungu wote wanawaheshimu na kuzima Sigara zao! hao ndiyo walifanya Ulaya ikanyanyuka ki hali zote, kijeshi, uchumi, Siasa Duniani. Majemedari wote hatari walioongoza vita ya kuikomboa Ulaya, kwa mafanikio km Chale Mange walitoka hapo.
Unaomekana kuna kitu unakijua ila punguza fix na kuchukua mambo ya kwenye movoe kisha kuyaweka hapa sitak kupinga hoja zako ila punguza FIX zaman kulikhwa na technolpgia ndogo na ndio maana tumeshindwa kuona ata picha ya NUHU michpro ming ya kale ecborwa kwa mawe na kuchpnga vinyago
 
Back
Top Bottom