Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

8bfc5dd1ef4f2be54a724b9960597130.jpg
naona unataka ulete habari za makinikia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
BTW iko hivi dunia inaendeshwa na mashariki ya kati kupitia Israel ( taifa teule?) Na anayetumika kufanya hiyo kazi ni mzungu kwa maelekezo ya Israeli


Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
1.Vipi tunajaribu kugundua asili ya mwafrika kwenye vitabu vya historia vya wazungu?
2.Kwanin kwenye kila baya linalotukabili tunadhani mzungu ndie chanzo?
3.Kama waafrika,ni hatua gani tuchukue ili 'tupambane hali zetu"
Nawaza kwa madoido!!



Sent from my SM-N920I using JamiiForums mobile app
 
waafrika ni wapuuzi kuamini ujinga wa kuran na biblia..you are so very blinded!!!!

ni kweli mkuu upo sahihi na hapo ndio walipotushikia masikio siku tukijitambua na kurudi katiaka asili ndio itakua mwisho wao.
Let's try to have a critical argument without teasing others pls

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Let's try to have a critical argument without teasing others pls

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
that is no teasing,that is the truth and it is to be told,heard and seen...no disrespect mkuu but if you do believe in the bible or quran,then,you are in a deep sleep.
 
that is no teasing,that is the truth and it is to be told,heard and seen...no disrespect mkuu but if you do believe in the bible or quran,then,you are in a deep sleep.
I do believe in the Holy Bible and I know why I have chosen to believe

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Mungu akamuuliza kaini ,mdogowako yukowapi?kaini akajibu Mimi hukuniweka nimlinde,
Mungu akamwambia,damu ya mdogo inakulilia name kuanzia sasa huta huvuna mazao kutokana na damu ya mdogo wa inakulilia kwenye ardhi.

Kaini akuzunika na akasema ni kweli lakini mbona unanipa adhabu kubwa sana!
Basi naomba niende mbali na hapa,Mungu akamwambia Sawa,
Kaini akauliza tena ,huko ninapokwenda si wataniua?
Mungu akamjibu nitakuweka alama na hakuna atakae kuua na atakaethubutu kufanya hivyo.atalaaniwa mala7.

TABIA HII YA WAZUNGU IMEENDELEA HADI LEO,YAANI MZUNGU KUUA WATU WENGINE WANAJIONA WANA HAKI,LAKINI SEHEMU YOYOTE AKIFA MZUNGU DUNIA AU MCHI NZIMA ITATIKISIKA KWA VITISHO.MALA TUTAWANYIMA MISAADA NK.

KWAHIYO TANGU MWANZO UKOO WA KAINI NDIO HAWA WALIOWEKWA ALAMA .NA UKOO HUHUU NDIO ULIENDELEA HADI KWENYE UZAO WA LAMEK NA NAADAE YABARI AMBAYE KWENYE KITABU CHA MWANZO AMATAJWA KUA ALIKUA ANAKA KWENYE MAHEMA ,MPIGA VUNUBI NA MTENGENEZAJI WA VITU VYA CHUMA ,ALUMINIUM, BATI NA SHABA.

NA NDIO ATAJWA KAMA NDIO MWANZIRISHI WA FREEMASON.
Aise.... Hii mpya
 
waafrika ni wapuuzi kuamini ujinga wa kuran na biblia..you are so very blinded!!!!
duh ID yako yenyewe inaonyesha ww ni RASTA MAN ila hilo dhehebu la nyabhingi mbona lipo uganda mkuu au hata hapa lipo nn?
 
Nakuunga mkono mtoa post kuwa wazungu ni aliens au mashetani ndo maana historia yao inatatanisha na haijaandikwa popote, hawa wamelaaniwa, pia Mashariki ya kati na Afrika pamebarikiwa. Amen

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Nakuunga mkono mtoa post kuwa wazungu ni aliens au mashetani ndo maana historia yao inatatanisha na haijaandikwa popote, hawa wamelaaniwa, pia Mashariki ya kati na Afrika pamebarikiwa. Amen

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
Aaamen

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 535737kuna vitu vingi vya kushangaza mno, ambavyo kutokaincrease.twezwa na mahangaiko ya dunia tunakosa muda wa kuvitafakari
1. Dunia ya Mungu ilikuwa mashariki ya kati?
Hapa ndio kama Mungu alipatambua kama uumbaji wake! Si kwamba hakukuwa na maisha mengine la hasha yalikuwepo! Soma habari za Lilith au Kaini kwenda kuoa 'huko kwingine' baada ya kumuua ndugu yake!

2.Dini zote zinazoamini katika uwepo wa Mungu asili yake ni mashariki ya kati, hata katika misahafu tunachosoma kwa sehemu kubwa sana ni habari za mashariki ya kati..
Habari na matukio makuu ya dunia yote ni hapo
  • Bustani ya Eden
  • Mnara wa Babel
-Gharika ya Nuhu
-Sodoma na Gomorah etc etc
Kuna mahali kwenye kitabu cha Mithali tunaaswa kutafuta elimu hata mpaka China! Kwa hiyo hii ilikuwepo pia

3. Historia ya mzungu haiandikwi popote (I may be corrected) ama inaandikwa kwa uchache! Africa ilijulikana kwa Mungu(aliitambua pia) soma habari za mafarao na mfalme Suleiman na Cheopatra na asili zao!

4. Mzungu ni mvamizi wa dunia( possibly Alien ama mkuzimu) cha kushangaza mno ndio tunamchukulia kama uzao wa Mungu kutokana na yote aliyoyafanya ya kushangaza hapa duniani hasa kwenye tech
Kwa kutumia ufahamu wake na uwezo wake mkuu mzungu amejitahidi kuidanganya na kuiaminisha dunia kuwa yeye ndio kiumbe bora zaidi duniani( haya matangopori wamelishwa wengi na kuvimbiwa)
Kwa kutumia ushawishi wake huo ameweza kuigeuza historia ya dunia na kuweka mapicha yake kutuaminishaView attachment 535749 Mambo yote mabaya yana mkono wa mzungu...mipango ya muda mrefu na ya siri sana ya kutaka kuangamiza uzao wa dunia je ni hofu kuwa wenye dunia yao kuna siku watakuja kuamka na kufunuliwa ukweli?
Hofu ni ya nini mpaka alete utambulisho wa microchips mwilini?
Hofu ya nini mpaka aanzishe projects nyingi za kuleta na kueneza imani zinazopingana na Mungu?
Hofu ni ya nini mpaka yale mambo ambayo ni chukizo mbele za Mungu yeye ayashadadie kwa kiwango cha juu mno?
Hofu ni ya nini mpaka aendelee kuichonganisha na kuipiganisha mashariki ya kati kila uchao?
Utajiri wa dunia (mafuta na madini) kwa sehemu kubwa vinapatikana hapo mashariki ya kati na Africa! Huko kwingine Mungu hakukubariki! Huko ndiko alikotokea Lilith! Huko ndiko asili ya Kaini alikimbilia! Huko ndiko kulikolaaniwa na Mungu ndio maana hawakubarikiwa chochote cha asili (wengi hawatanielewa)
Huko ndiko walikotikea wale wanefili majitu makubwa
Kila kitu kina pande mbili hasi na chanya! Mzungu anajua upande wa hasi ni upi ndio maana haachi kuhangaika na kule kulikobarikiwa

WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA! MUNGU HAJAWAHI KUSHINDWA
Mmm yes, sawa,umeandika.Ila mkuu nachelea kusema kwamba umeandika haya uliyoandika kwa sababu ya kutolijua neno la Mungu.Ni kweli asili ya mwanadamu ni mashariki ya kati na hapo ndipo Mungu alipo "plant" wanadamu wa kwanza, Adam na Hawa.Ongezeko la mwanadamu na utawanyiko ulianzia hapo.Sheria ya Mungu ni ya "slow increase." Mungu angependa angeijaza dunia na wanadamu na vyote vilivyomo siku moja,lakini hakufanya hivyo.Why?Kwa kuwa anafurahi anapoona vitu vikiongezeka au vikikua pole pole,kwa kuwa in that way system nzima inakuwa well established,na ya kudumu.Hapa ndipo His majesty inapodhihirika.

Equally for example on a smaller scale, hataki tukope,anataka tutajirike kwa kudunduliza for the same reason, lakini pia kwa sababu anataka uthamini ulicho nacho na pia kwa kuwa mali iliyopatikana kwa njia zisizo halali,haidumu as mentioned earlier!

Mkuu ukichunguza Biblia vizuri utaona very clearly the origin of races baada ya utawanyiko from the garden of Eden.Hii hata hivyo inahitaji effort.Si kweli mkuu kwamba Wazungu origin yao sio duniani.Jinsi wanadamu walivyozidi kutawanyika kwa sababu ya confusion in language ambayo Mungu aliifanya makusudi,ndivyo jinsi changes Mungu alivyozifanya kwa mwanadamu for adaptability purposes.Kuna vitu viwili vya msingi hapa,Melanin na fat depostion.As you move closer to the Equator,Melanin inaongezeka,making you darker and more tolerant to cancer and other skin diseases.Kwa hiyo Melanin is an adaptation factor.The closer you are to the equator,the more Melanin you have and vice versa.

On the other hand an increase in fat deposition makes your face or eyes roundish as noted in the Chinese,Koreans and Japanese.Hii aliifanya ili kuleta diversity.God cherishes diversity as you can see in different animals,insects,birds,plant species etcetera.

The different races only proves Gods power and mighty in creation,imagination and foresight.Google "Where did the different races come from?" ulione hili.
 
Unasema nitumie wote walikuwa wa Mashsriki ya kati, mbona mtume Paulo alikuwa Mtume (Mzungu wa Italia ya Sasa. Kaisari alikuwa Mzungu pia. Ukiangalia miji kama Korintho na Thesalonike ni miji ya ulaya katika nvhi ya Ugiriki. Kwa hiyo wazungu ni watu wa kawaida kama wewe tu isipokuwa rangi tu ndiyo inayoleta tofauti.

Pia ukisoma katika kitabu cha Mwanza utaona kuhusu wana wa Shemu, Yapheti na Hamu utaona ndio waliozaa wazungu, Waarabu na Waafrika. Nenda ukasome Biblia ili ujue kwa kind mambo haya

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Mmm,yes.Sawa umeandika.Ila mkuu nachelea kusema kwamba umeandika haya uliyoandika kwa sababu ya kutolijua neno la Mungu.Ni kweli asili ya mwanadamu ni mashariki ya kati na hapo ndipo alipo "plant" wanadamu wa kwanza, Adam na Hawa.Ongezeko la mwanadamu na utawanyiko ulianzia hapo.Sheria ya Mungu ni ya "slow increase." Kwa maana kwamba angeijaza dunia na wanadamu siku moja au angeumba dunia na vyote vilivyomo siku moja kama angependa,lakini hakufanya hivyo kwa kuwa anafurahi anapoona vitu vikiongezeka au vikikua pole pole kwa kuwa in that way system nzima inakuwa well established na ya kudumu.Hapa ndipo His majesty inapodhihirika.

Equally for example on a smaller scale, hataki tukope,anataka tutajirike kwa kudunduliza for the same reason, lakini pia kwa sababu anataka uthamini tulicho nacho na pia kwa kuwa mali iliyopatikana kwa njia zisizo halali haidumu as mentioned earlier!

Mkuu ukichunguza Biblia vizuri utaona very clearly the origin of races baada ya utawanyiko from the garden of Eden.Hii hata hivyo inahitaji effort.Si kweli mkuu kwamba Wazungu origin yao sio duniani.Jinsi wanadamu walivyozidi kutawanyika kwa sababu ya confusion in language ambayo Mungu aliifanya makusudi,ndivyo jinsi changes Mungu alivyozifanya kwa mwanadamu for adaptation purposes.Kuna vitu viwili vya msingi hapa,melanin na fat depostion.As you move closer to the Equator,melanin inaongezeka,making you darker and more tolerant to cancer and other skin diseases.Kwa hiyo melanin is an adaptation factor.The closer you are to the equator,the more melanin you have and vice versa.

On the other hand an increase in fat deposition makes your face or eyes roundish as noted in the Chinese,Koreans and Japanese.Hii aliifanya ili kuleta diversity.God cherishes diversity as you can see in different animal,insect,bird,plant species etcetera.

The different races only proves Gods power and mighty in creation,imagination and foresight.Google "Where did the different races come from?" ulione hili.
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Unasema nitumie wote walikuwa wa Mashsriki ya kati, mbona mtume Paulo alikuwa Mtume (Mzungu wa Italia ya Sasa. Kaisari alikuwa Mzungu pia. Ukiangalia miji kama Korintho na Thesalonike ni miji ya ulaya katika nvhi ya Ugiriki. Kwa hiyo wazungu ni watu wa kawaida kama wewe tu isipokuwa rangi tu ndiyo inayoleta tofauti. Pia ukisoma katika kitabu cha Mwanza utaona kuhusu wana wa Shemu, Yapheti na Hamu utaona ndio waliozaa wazungu, Waarabu na Waafrika. Nenda ukasome Biblia ili ujue kwa kind mambo haya

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app


Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
kuna story ya biblia juu ya malaika waliotamani mabinti wa wanadamu baadae wakashuka duniani wakawaingilia wakazaa majitu ila haikueleza mwisho wake hao ndio wazungu wenye laana ya asili
Kwa kutumia uwezo wao, walikwepa kuzamishwa na gharika kwa kujibadili na kuwa roho. Wapo mama mapepo na majini.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Nakuunga mkono mtoa post kuwa wazungu ni aliens au mashetani ndo maana historia yao inatatanisha na haijaandikwa popote, hawa wamelaaniwa, pia Mashariki ya kati na Afrika pamebarikiwa. Amen

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app

Kuna baadhi wanaamini kuwa hao watu weupe walitengenezwa asa a result ya research mbalimbali walizokuwa wanazifanya Blacks wakati huo wako kwenye power zao, Ancient Babylon, Egypt, China, India, Spain, Peru nk
 
Kuna baadhi wanaamini kuwa hao watu weupe walitengenezwa asa a result ya research mbalimbali walizokuwa wanazifanya Blacks wakati huo wako kwenye power zao, Ancient Babylon, Egypt, China, India, Spain, Peru nk
Kuna nahali jamaa walituzidi akili kidogo sana wakatupiga dafrau double impact! Ukisoma ancient history Afrika ilikuwa civilized long time ago

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Kuna nahali jamaa walituzidi akili kidogo sana wakatupiga dafrau double impact! Ukisoma ancient history Afrika ilikuwa civilized long time ago

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app

Inawezekana Musa aliondoka na uwezo wa Waafrika pale Misri? Kuna watu wanaamini hivyo search it
 
duh ID yako yenyewe inaonyesha ww ni RASTA MAN ila hilo dhehebu la nyabhingi mbona lipo uganda mkuu au hata hapa lipo nn?
I and I Haile Ras Tafari,hilo ni tawi mojawapo la maras...napenda falsafa yao lakini mimi ni Egyptologist
 
Back
Top Bottom