Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] Asanteni sana nimeongeza maarifa kwenye ufahamu wangu kupitia hizi replies zenu......JF ni kisima cha maarifa mengi sana[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Mungu akamuuliza kaini ,mdogowako yukowapi?kaini akajibu Mimi hukuniweka nimlinde,
Mungu akamwambia,damu ya mdogo inakulilia name kuanzia sasa huta huvuna mazao kutokana na damu ya mdogo wa inakulilia kwenye ardhi.
Kaini akuzunika na akasema ni kweli lakini mbona unanipa adhabu kubwa sana!
Basi naomba niende mbali na hapa,Mungu akamwambia Sawa,
Kaini akauliza tena ,huko ninapokwenda si wataniua?
Mungu akamjibu nitakuweka alama na hakuna atakae kuua na atakaethubutu kufanya hivyo.atalaaniwa mala7.
TABIA HII YA WAZUNGU IMEENDELEA HADI LEO,YAANI MZUNGU KUUA WATU WENGINE WANAJIONA WANA HAKI,LAKINI SEHEMU YOYOTE AKIFA MZUNGU DUNIA AU MCHI NZIMA ITATIKISIKA KWA VITISHO.MALA TUTAWANYIMA MISAADA NK.
KWAHIYO TANGU MWANZO UKOO WA KAINI NDIO HAWA WALIOWEKWA ALAMA .NA UKOO HUHUU NDIO ULIENDELEA HADI KWENYE UZAO WA LAMEK NA NAADAE YABARI AMBAYE KWENYE KITABU CHA MWANZO AMATAJWA KUA ALIKUA ANAKA KWENYE MAHEMA ,MPIGA VUNUBI NA MTENGENEZAJI WA VITU VYA CHUMA ,ALUMINIUM, BATI NA SHABA.
NA NDIO ATAJWA KAMA NDIO MWANZIRISHI WA FREEMASON.
Andiko linafikirisha vizuri. Naomba nitoe nadharia zangu kutokana na nilivosoma historia ya ulimwengu. Watu weusi wameishi sehemu kubwa ya dunia miaka na miaka na mifupa yao imegundulika maeneo mengi tu kuanzia ulaya mpaka china huko. Ndo maana vitabu vya dini havizungumzii ubaguz wa rangi sababu weusi hawakuwa kitu kipya huko duniani.
Naweza sema hii theory ya Mshana inaweza kuwa inaukweli fulani kutokana na juhudi wanazofanya wazungu kuwadidimiza watu weusi. Magonjwa kama ukimwi wao ndo wametengeneza. Hata hao watu wa biblia kutoka mashariki ya kati hawakuwa kama hawa waarabu wa leo. Inasemekana pia waisrael hawakuwa weupe kama hawa wa leo. Hawa wa leo ni watu wa ulaya na jamii kadhaa waliosilimu kuwa wayahudi. Misri ilikua taifa la weusi. Jiulize waarab au wazungu wanawezaje kwenda kuomba hifadhi kwa weusi kipindi cha Yakobo baba wa Joseph??? Jibu ni kwamba walienda kuishi kwa weusi wenzao wa misri. Utawala wa 25 wa mapharao walitoka kwa wanubi ila haimaanishi waliopita hawakuwa weusi.Mfano mzuri wa watu wa mashariki ya kati ni waarabu wa Yemen. Hadi leo haieleweki kwa nini kitabu cha Enoch kimetolewa kwenye biblia? Ukisoma hicho kitabu Nuhu inasemekana Nuhu anashangaa kupata mtoto mweupe mwenye macho ya blue...akaogopa...akaona sio wake ila anafanana na watoto wa malaika walioasi. Wazungu wanavohalalisha ushenzi kama ushoga wa sodoma na ghomora bila aibu ndo wanatupa mashaka zaidi na kufikirisha asili yao. Pia sayansi inatuambia watu weupe wanakiwango cha Neandathal..binadamu alipotea...katika dna zao. Waafrika weusi pure hawana hizo cell za neandathal
USA inaitwaje kwenye Biblia?
USA inaitwaje kwenye Biblia?
Ndo imetajwa[emoji102] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115]
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForucms mobile app
USA ni ya juzi juzi tu.Biblia imeongelea sana mashariki ya kati pamoja na africa,Yaani Misri na ethiopia kidogo.USA inaitwaje kwenye Biblia?
Warumi sio wazungu ni wameditarenian kama Walebanon, wapalestina na wasyria
Waskandinavia..walisambaa magharibi ya ulaya kuanzia uingereza, ujeruman, na mataifa mengi ya ulaya wamechanganyika na walatin na waarabu na makabila mengine....mwanzoni marekani waitaliano,wahispaniola kwenye sensa hawakutambulika kama whites (wazungu).toa maana sahihi ya Mzungu ni nani? nadhani tukianzia tunaweza pata pakuanzia huu mjadala....
Ndio bloodline yao hao wazungu na ndio.maana wana macho ya bluekuna story ya biblia juu ya malaika waliotamani mabinti wa wanadamu baadae wakashuka duniani wakawaingilia wakazaa majitu ila haikueleza mwisho wake hao ndio wazungu wenye laana ya asili
Hao wahindi wekundu pia nasikia ni moja ya kati ya kabila 12 za israelHaina jina bali ni muunganiko wa majimbo madogodogo yenye tamaduni na mila tofauti... Japo kiasili wenyeji ni wahindi wekundu waliokuja kumalizwa na wazungu