Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

Mimi siamini kama binadamu wa kale alikuwa nyani. Kama alikuwa nyani basi hata sasa ni nyani na sio binadam. PERIOD.

Shuleni kuna hadithi za namna nyingi, tena nyingi za uongo na chache zenye kufundisha lakini tuna wajibu wa kutafuta ukweli beyond academic and religion walls. Hadithi na nadharia eti zamani mamba na mijusi walikuwa dinosaurs nk nk

Ukweli ni kwamba binadamu ni binadamu toka yule wa kwanza mpaka wa mwisho. Hakuna binadamu aliyekuwa nyani wakati wowote.

Maswali machache madogo:-

1) Kwanini nyani leo hawawi binadamu??

2) Halafu, nini kilitokea kukomesha huo utaratibu wa nyani kuwa binadam?

3) Na kama nyani alikuwa anakuwa binadamu, je baadaye huyu binadam alikuwa anakuwa nani sasa?
Kwa unavyofikiri wewe ni wapi utapata ukweli wa hilo jambo la chanzo cha bnaadamu au binaadamu wa kwanza alikuaje?
 
kwa maana yako blacks tumelaaaniwa NIKISEMA BIBLE INAWABEBA WAZUNGU MNABISHA KWA HERUFI KUBWA!!? huyo mungu wa bible mm simuamini kama anubaguzi kiasi hiki? yaani abariki weupe aache sisi blacks .pambafffff
At least you can reason unlike the most of us ambao tunajidanganya na hivi vitabu vya historia na wengine tumevitukuza kabisa.
 
Umenishangaza sana mkuu. You're so yesterday Broo.
Wazungu wana same mormphology na binadamu wengine, pia wazungu wana uwezo mkubwa wa kufikiri na ku^reason. Ukiongelea kuhusu binadamu ukumbuke kwamba kuna species nyingne nying duniani kwa mfano kuna ndege wa angani, hawafanani rangi lakini wote ni wanaitwa ndege, wengine wanapaa angani lakin wengine wanatembea chini (hawana uwezo wa kupaa) lakini haipotezi asili ya ndege. Hivyo ndivyo ilivyo kwa wenzetu wazungu, ni binadamu wenzetu lakini wametuzidi uwezo wa akili maana hawakutaka kuishi duniani bila sababu, ndo maana walivumbua technology mbali mbali ambazo zinatusaidia hata sisi.

Leo mwafrika au mtu mweusi anamuona mzungu ni adui yake kutokana na uwezo mkubwa wa akili na technology walionao wazungu. Inawezekana hata uandishi wako huu umeutoa kwenye internet ambayo ni uvumbuzi pia wa mzungu, uwezo wa kufikiri ulio nao hata sasa nisababu umepata maarifa ya darasani(elimu ya darasani), elimu ililetwa na mzungu mpaka inakusaidia wew na jamii yako.

Shame on you broo.
 
Umenishangaza sana mkuu. You're so yesterday Broo.
Wazungu wana same mormphology na binadamu wengine, pia wazungu wana uwezo mkubwa wa kufikiri na ku^reason. Ukiongelea kuhusu binadamu ukumbuke kwamba kuna species nyingne nying duniani kwa mfano kuna ndege wa angani, hawafanani rangi lakini wote ni wanaitwa ndege, wengine wanapaa angani lakin wengine wanatembea chini (hawana uwezo wa kupaa) lakini haipotezi asili ya ndege. Hivyo ndivyo ilivyo kwa wenzetu wazungu, ni binadamu wenzetu lakini wametuzidi uwezo wa akili maana hawakutaka kuishi duniani bila sababu, ndo maana walivumbua technology mbali mbali ambazo zinatusaidia hata sisi. Leo mwafrika au mtu mweusi anamuona mzungu ni adui yake kutokana na uwezo mkubwa wa akili na technology walionao wazungu. Inawezekana hata uandishi wako huu umeutoa kwenye internet ambayo ni uvumbuzi pia wa mzungu, uwezo wa kufikiri ulio nao hata sasa nisababu umepata maarifa ya darasani(elimu ya darasani), elimu ililetwa na mzungu mpaka inakusaidia wew na jamii yako. Shame on you broo.
Am so yesterday n shame on me! [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] matango pori yakikolea ni noma! What a brainwashed mind poor you! But it's alright to me
 
Am so yesterday n shame on me! [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] matango pori yakikolea ni noma! What a brainwashed mind poor you! But it's alright to me
It's my expression broo. Never mind broo,
Am so yesterday n shame on me! [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] matango pori yakikolea ni noma! What a brainwashed mind poor you! But it's alright to me
It's my expression broo. Never mind broo.
Let me tell you something broo. You're brainwashed since the first day when your registered to school broo.
Your totally right, i'm brainwashed also. But i would like to remind you broo, "Don't waste your time with explanations, people only hear what they want to hear".
By the way, i'm so stupid.
 
Mzungu ni nani na katokea wapi? je kipindi ambacho yesu anazaliwa huko mashariki ya kati wale akina kaisari amabao walikua ni watawala wa ufalme wa kirumi walikua watu gani kama sio wazungu? swala la kuwapondea ni wivu wetu tu sisi watu weusi na hali ya kukosa ubunifu na akili za kukabiliana nao..... ikumbukwe kua hata hizo dini mnazojifichia akazileta huyohuyo mzungu na ndio aliowafundisha ustaarabu pamoja na kuuleta ukoloni na badae kusaidia harakati za mapambano dhidi ya biashara ya utumwa na baadae ukoloni...

kama kweli mtoa mada unadai sisi ni watu wa mungu iweje hao tunaowasema vibaya wapendelewe kua na maendeleo pamoja na utajiri uliotukuka?
hayo ni maneno tu ya mfa maji....walishatutangulia kutokana na matumizi yao sahihi ya akili zao.....
na huyu Mungu mnaemuongelea pengine sio mungu mkuu na ndio maana wao wazungu kama wana mungu wao amekua anawasaidia sana na mambo yao yanakwenda vizuri.
Warumi sio wazungu ni wameditarenian kama Walebanon, wapalestina na wasyria
 
Umenishangaza sana mkuu. You're so yesterday Broo.
Wazungu wana same mormphology na binadamu wengine, pia wazungu wana uwezo mkubwa wa kufikiri na ku^reason. Ukiongelea kuhusu binadamu ukumbuke kwamba kuna species nyingne nying duniani kwa mfano kuna ndege wa angani, hawafanani rangi lakini wote ni wanaitwa ndege, wengine wanapaa angani lakin wengine wanatembea chini (hawana uwezo wa kupaa) lakini haipotezi asili ya ndege. Hivyo ndivyo ilivyo kwa wenzetu wazungu, ni binadamu wenzetu lakini wametuzidi uwezo wa akili maana hawakutaka kuishi duniani bila sababu, ndo maana walivumbua technology mbali mbali ambazo zinatusaidia hata sisi. Leo mwafrika au mtu mweusi anamuona mzungu ni adui yake kutokana na uwezo mkubwa wa akili na technology walionao wazungu. Inawezekana hata uandishi wako huu umeutoa kwenye internet ambayo ni uvumbuzi pia wa mzungu, uwezo wa kufikiri ulio nao hata sasa nisababu umepata maarifa ya darasani(elimu ya darasani), elimu ililetwa na mzungu mpaka inakusaidia wew na jamii yako. Shame on you broo.
Aiseee unaijua historia kweli kweli wewe adi unasema elimu africa ililetwa na mzungu??unaijua miji kama timbuktu watu walikua wanaingia darasana adi chuo wanatoka mataifa mbali mbali kuja kujifunza!!unaijua tecnolojia ya uyeyushaji vyuma ilipoaanzia!!hebu jifunze jifunze basi alafu uje hapa uargue kiume ..

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Mungu akamuuliza kaini ,mdogowako yukowapi?kaini akajibu Mimi hukuniweka nimlinde,
Mungu akamwambia,damu ya mdogo inakulilia name kuanzia sasa huta huvuna mazao kutokana na damu ya mdogo wa inakulilia kwenye ardhi.

Kaini akuzunika na akasema ni kweli lakini mbona unanipa adhabu kubwa sana!
Basi naomba niende mbali na hapa,Mungu akamwambia Sawa,
Kaini akauliza tena ,huko ninapokwenda si wataniua?
Mungu akamjibu nitakuweka alama na hakuna atakae kuua na atakaethubutu kufanya hivyo.atalaaniwa mala7.

TABIA HII YA WAZUNGU IMEENDELEA HADI LEO,YAANI MZUNGU KUUA WATU WENGINE WANAJIONA WANA HAKI,LAKINI SEHEMU YOYOTE AKIFA MZUNGU DUNIA AU MCHI NZIMA ITATIKISIKA KWA VITISHO.MALA TUTAWANYIMA MISAADA NK.

KWAHIYO TANGU MWANZO UKOO WA KAINI NDIO HAWA WALIOWEKWA ALAMA .NA UKOO HUHUU NDIO ULIENDELEA HADI KWENYE UZAO WA LAMEK NA NAADAE YABARI AMBAYE KWENYE KITABU CHA MWANZO AMATAJWA KUA ALIKUA ANAKA KWENYE MAHEMA ,MPIGA VUNUBI NA MTENGENEZAJI WA VITU VYA CHUMA ,ALUMINIUM, BATI NA SHABA.

NA NDIO ATAJWA KAMA NDIO MWANZIRISHI WA FREEMASON.
 
Andiko linafikirisha vizuri. Naomba nitoe nadharia zangu kutokana na nilivosoma historia ya ulimwengu. Watu weusi wameishi sehemu kubwa ya dunia miaka na miaka na mifupa yao imegundulika maeneo mengi tu kuanzia ulaya mpaka china huko. Ndo maana vitabu vya dini havizungumzii ubaguz wa rangi sababu weusi hawakuwa kitu kipya huko duniani.
Naweza sema hii theory ya Mshana inaweza kuwa inaukweli fulani kutokana na juhudi wanazofanya wazungu kuwadidimiza watu weusi. Magonjwa kama ukimwi wao ndo wametengeneza.

Hata hao watu wa biblia kutoka mashariki ya kati hawakuwa kama hawa waarabu wa leo. Inasemekana pia waisrael hawakuwa weupe kama hawa wa leo. Hawa wa leo ni watu wa ulaya na jamii kadhaa waliosilimu kuwa wayahudi. Misri ilikua taifa la weusi. Jiulize waarab au wazungu wanawezaje kwenda kuomba hifadhi kwa weusi kipindi cha Yakobo baba wa Joseph?

Jibu ni kwamba walienda kuishi kwa weusi wenzao wa misri. Utawala wa 25 wa mapharao walitoka kwa wanubi ila haimaanishi waliopita hawakuwa weusi.Mfano mzuri wa watu wa mashariki ya kati ni waarabu wa Yemen. Hadi leo haieleweki kwa nini kitabu cha Enoch kimetolewa kwenye biblia? Ukisoma hicho kitabu Nuhu inasemekana Nuhu anashangaa kupata mtoto mweupe mwenye macho ya blue...akaogopa...akaona sio wake ila anafanana na watoto wa malaika walioasi.

Wazungu wanavohalalisha ushenzi kama ushoga wa sodoma na ghomora bila aibu ndo wanatupa mashaka zaidi na kufikirisha asili yao. Pia sayansi inatuambia watu weupe wanakiwango cha Neandathal..binadamu alipotea...katika dna zao. Waafrika weusi pure hawana hizo cell za neandathal
 
Back
Top Bottom