KipajiTz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 743
- 880
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mmute mwisho wa siku mnara wa babeli ndio jibu pekee pale Mungu alipowachafulia binadamu usemi ili wapate kuenea juu ya uso wa dunia.Huenda hapo ndipo walipokuja kupatikana mataifa na rika mbalimbali waAsia, waafrika wazungu etc hata ktk tofauti zao za lughamshana jr wachina asili yao wapi?