Umenishangaza sana mkuu. You're so yesterday Broo.
Wazungu wana same mormphology na binadamu wengine, pia wazungu wana uwezo mkubwa wa kufikiri na ku^reason. Ukiongelea kuhusu binadamu ukumbuke kwamba kuna species nyingne nying duniani kwa mfano kuna ndege wa angani, hawafanani rangi lakini wote ni wanaitwa ndege, wengine wanapaa angani lakin wengine wanatembea chini (hawana uwezo wa kupaa) lakini haipotezi asili ya ndege. Hivyo ndivyo ilivyo kwa wenzetu wazungu, ni binadamu wenzetu lakini wametuzidi uwezo wa akili maana hawakutaka kuishi duniani bila sababu, ndo maana walivumbua technology mbali mbali ambazo zinatusaidia hata sisi. Leo mwafrika au mtu mweusi anamuona mzungu ni adui yake kutokana na uwezo mkubwa wa akili na technology walionao wazungu. Inawezekana hata uandishi wako huu umeutoa kwenye internet ambayo ni uvumbuzi pia wa mzungu, uwezo wa kufikiri ulio nao hata sasa nisababu umepata maarifa ya darasani(elimu ya darasani), elimu ililetwa na mzungu mpaka inakusaidia wew na jamii yako. Shame on you broo.