Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

Sijamaliza kusoma hili andiko lako lote,lakini hadi nilipoishia naweza kusema yafuatayo.

1. Mfanani wa Books of moses na ancient Egyptian books ( Africa origin)

A) Kwanza kabisa unatakiwa kufahamu moses alikuzwa na kusoma katuka bars LA Africa. Basis ya elimu yote ya nabii musa ilianzia Africa Egypt. So Mussa alikuwa ni msomi wa African philosophy, history na religions.

B)Philosophy ya misri yawezekana ilikuwa na ukweli asilimia Fulani wa mambo iliyo yazungumzia kuhusu Mungu na historia ya Uumbaji ambayo over time yalichanganyika na other knowledge as generations zina move some knowledge is lost about the past and some new knowledge may be developed.

So kwa hizo sababu mbili uandishi wa Mussa ulifanana sana na ancient Egyptian philosophies and history but kuna mabadilko mengi tu Mussa aliyafanya katika uandishi wake aio kwamba alicopy na kupaste,haya mabadiliko yanaweza kuwa in baadhi ya sehemu ambayo kuna lost Knowledge na foreign knowledge kwenye hizo historia na falsafa .



2.Maswala yalioandikwa kwenye hili andiko lako kuhusu New testament mengine yanaukweli na mengine ni dhahania tu (au tuhuma tu ambazo hazina ushahidi).

Moja ya kosa LA huyo mwandishi unae mquote anafanya ni kutumia basis ya Jews Ku judge Christianity .Binafsi ni open minded nasikiliza pande zote but kwakusoma hio article tu nimegundua vitu viwili .

A) Mwandishi wa kitabu hicho ni myahudi (kama sihivo)
B) hawajui wayahudi vizuri na historia yao


Ukisoma commentary au andiko LA myahudi (Jew ambaye anafanya ibada ya Judaism) yeyote ukategemea kukuta any positives about Christianity unaota ndot😵bviously zitakuwa na bias .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We umesoma wapi ,kitabu gani ? Shule gani? Na mwalimu gani alikufundisha binadamu alikuwa nyani akabadilika? Na katika somo gani? Darasa gani?
Tuanzie hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani amekudanganya Paulo alikuwa muitaliano rafiki angu

Paulo alikuwa myahudi pure /a pure Jew by origin and religion
Ingawa akaja Ku badilisha imani from Judaism na kuanzisha movement ya Christianity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lini waafrika tutakuwa na upeo wa kugundua teknolojia, mapinduzi ya viwanda na siasa safi ili tuachane na mambo ya mzungu?

Au tutaendelea kuwa wanafiki huku tukimnanga ilihali bado tunahitaji msaada wake kwa yote hayo?

Let us wakeup and find our way

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sasa hivi hatumtegemei mzungu,kila kitu kimehamia China.Kila ninachokitumia hapa kimezalishwa China.Vya mzungu labda mitumba tu.Mzungu hutumia akili za wengine kuwatawala.Vyuo vikuu vya ulaya vimejaa wageni wa mabara mbalimbali wakati vyuo vikuu vyetu vimejaa wazawa, unafikiri mtakuwa saw a.China imestuka haitaki kutumika na iwapo mchina ataenda kusoma ulaya ataenda kwa musheni maalumu sio kama waafrika wanaenda kusoma ulaya ila hawajui wanaenda kufanya nini.
 
Wakati ukuta... Anaelekea mwisho sasa japo si leo wala kesho
Jr[emoji769]
 
Biblia yenyewe katunga imeandikwa na mzungu,mzungu anaweza kuichezesha shere dunia kisha wote tukacheza,mzungu Leo hii akiamua bwana mshana awe rais wa Congo atakuwa,mzungu Leo hii anauwezo wa kuamua nani awe afe nani aishi,nenda iraki ukikutana na sadam kama yupo hai njoo nikupe zawadi na Libya hivyohivyo,mzungu anauwezo wa kuamua kuifilisi nchi yako ,kama huamini kaangalie Zimbabwe,tufanyeji jeuri yoote lakini hao watu waacheni ni namba zingine hizo kabisaaa,we MTU Alisha wahi kuwatawala then mkamfukuza ,harafu MTU huyohuyo anakuja kutalii katika nchi yako na unamfurahia,watu wengine wanaenda mbali zaidi wanaenda kuhifadhi mapesa kwenye nchi zao,hao ndo wazungu,upende usipende utawahitaji tu,kwanza usipofahamu lugha yao kazi hupati,KITUKO HIKI,mswahili anaajiliwa na mswahili mwenzake lakini wanataka kiingeleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Kweli kiongozi Asili ya ulimwengu ni mashariki ya kati na si vinginevyo.Mitume wote wametoka hapo hakutoka hata mmoja Ulaya wala Amerika wala Africa japo haikuwepo zama hizo.
Yusufu alikimbilia wapi ? Na eneo alipokimbilia lipo bara gani ?
 
asante sana umemisaidia kuconnect baadhi ya doti na kupata majibu ya maswal yalio kiwa hayajibik
 
Kweli kiongozi Asili ya ulimwengu ni mashariki ya kati na si vinginevyo.Mitume wote wametoka hapo hakutoka hata mmoja Ulaya wala Amerika wala Africa japo haikuwepo zama hizo.
he!nikuambie unafahamu MTO Nile,unaanzia aftika mashariki na unaishia bahari ya mediterenia,unapita Misri,he unajua Yakobo/Israeli alikunywa maji ya Nile ,Musa,Joseph,Bikira maria,Kristu,niseme Ethiopia INA husika sana na imani
 
Msomaji Leo acha nikimbie [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Aaan mungu alivo Ivo labda cku nikiijua asili yangu
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using UBUNTU 18LTS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…