Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

kwahiyo wakati wa mwanzo hakukua na mtu mweusi mpk alipokuja nuhu dahh kwamaoni yangu mimi adamu aliumbwa kwa udongo wa rangi zote duniani uliochanganywa
 
Revealed.

Gharika liliangamiza wote sababu kizazi Cha mapepo yaliyozaa na WANADAMU kuwa wengi na kupeleka UOVU kuzidi.

Baada ya Gharika yameanza tena kuzaana na WANADAMU.

60% ya WANADAMU duniani, wamechanganya uzao, ni nusu mtu, nusu pepo.

Yaani baba pepo, mama binadamu au mama pepo, baba mwanadamu.

40% pekee ya WANADAMU ndo hawajachanganya uzao.

Ndomana lazima Dunia ipigwe kiberiti tena. Amen
 
Lakini kwa mujibu wa maandiko Mwenyezi Mungu kasema hataingamiza dunia tena kwa moto wala kwa maji
 
Lakini kwa mujibu wa maandiko Mwenyezi Mungu kasema hataingamiza dunia tena kwa moto wala kwa maji
Ufunuo 20:11- 15. Dunia itakunjwa kama karatasi na Kutupwa ktk ZIWA la Moto. JEHANUM.

11.Kisha nikaona kiti Cha enzi, kikubwa, cheupe, na Yeye aketiye juu yake, ambaye Nchi na mbingu zikakimbia uso wake, na Mahali Pao hapakuonekana.

12. Nikawaona wafu, wakubwa Kwa wadogo wamesimama mbele ya hicho kiti Cha enzi, na vitabu vikafunguliwa, ambacho ni Cha UZIMA, na hao wafu wakahukumiwa katika mambo hayo yaliyoandikwa katika vile vitabu, sawasawa na matendo Yao.

13. Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake, na Mauti na Kuzimu ikawatoa wafu.

14. Mauti na Kuzimu zitatupwa ktk ZIWA la MOTO. Hii ndiyo mauti ya pili baada ya Ile ya kwanza ya mwili kuacha roho.

15. IWAPO mtu yeyote hakuandikwa ktk kitabu Cha UZIMA, alitupwa ktk ZIWA la MOTO.

DUNIA KUPIGWA MAPIGO 7.
Ufunuo 16:1-21.
1.Jipu baya juu ya wote wenye CHAPA ya mnyama.666

2. Bahari ikageuka Damu kama ya mfu, vyote ndani ya bahari vikafa.

3. Mito yote na chemchemi vikawa Damu, vyote ndani yake vikafa.

4. Jua likasogezwa Ili liwaunguze WANADAMU, mimea na wanyama wakafa kasoro binadamu.

5. Ufalme'' wa mnyama ukatiwa Giza, wakatafuna ndimi zao Kwa maumivu makali.

6. Mto flati mkuu utakauka ipatikane njia ya wafalme watokao ktk mawio ya Jua.

7. Radi na ngurumo zinatokea, mvua kubwa ya mawe ukubwa wa talanta inanyesha na watu wanapigwa Hasa.

Tetemeko kubwa kuwahi tokea duniani.

Milima na visiwa vikamkimbia Mungu, mwanadamu kabaki pekeake. Kumbuka mito bahari, vijito miti na wanyama hamna tena. Mtu atakitafuta kifo asikione.

Baada ya kuteketea mbingu na Nchi, atashusha Mbingu mpya na Nchi mpya. Tutatawala pamoja na YESU Kristo milele na milele.

Hapatakuwa na KIFO Wala njaa, Wala UOVU shababu shetani hatokuwepo.

Mwanakondoo atachunga pamoja na Simba.

Mtu asikudanganye Eti ukifa ndo mwisho. Mwanadamu aliumbwa Aishi milele.

Ni hiari Yako kuchagua umilele ktk mateso ya JEHANUM au umilele pamoja na YESU,ISSA bin Mariam au YESHUA Kwa kiyahudi.

Ni Rahisi tu, AMINI kuwa YESU ALIKUFA na AKAFUFUKA na akapaa Mbinguni, na ndiye Messiah au MWANA wa MUNGU ajaye kuuhukumu ulimwengu juu ya dhambi. Amen
 
Kiumbe halali wa dunia hii n mtu mweusi, hayo marangi mengine ni wavamizi kutoka nje ya dunia.

Wanaforce kupitia muvi zao na Sayansi zao kuwaaminisha kuwa kuna alien watakuja kuvamia dunia, kumbe alien ni wao wenyewe ambao walishavamia dunia kwa kuiharibu kitamaduni na kimaadili hatimae hata wazawa wa halali wa dunia hii(black) wameshakuwa mateka hawaambiliki lolote kuwahusu watu weupe.

Zamani ilikuwa ni kosa kubwa na laana kwa mtu mweusi kuishi,kuoa/kuolewa na mwanadamu(white people) lkn kwa bahat mbaya kizaz cha leo hawaambiliki wala hawashauriki kutwa kuwasifu na kuwaabudu hao weupe, viongoz wenu kutwa kucha kuzurura nchi za hao viumbe, kwa namna hii Afrika ya watu weusi haiwezi kuendelea mpka tuondoe vizuiz/vifungo vya akili tulivyomezeshwa kupitia elimu&dini.
 
Zamani ilikuwa ni kosa kubwa na laana kwa mtu mweusi kuishi,kuoa/kuolewa na mwanadamu(white people) lkn kwa bahat mbaya kizaz cha leo hawaambiliki wala hawashauriki kutwa kuwasifu na kuwaabudu hao weupe, viongoz wenu kutwa kucha kuzurura nchi za hao viumbe, kwa namna hii Afrika ya watu weusi haiwezi kuendelea mpka tuondoe vizuiz/vifungo vya akili tulivyomezeshwa kupitia elimu&dini.
 
Kiumbe halali wa dunia hii n mtu mweusi, hayo marangi mengine ni wavamizi kutoka nje ya dunia.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaambiwa kabla ya occupation ya HOMOSAPIENS kutoka Africa Ulaya kulikuwa na species nyingine ya binadamu waliitwa NEANDERTHAL (ambao ni extinct kwa sasa) ,hawa baada ya kuinteract na Homosapiens ,wakaanza kuchangamana nao sexually ,mpaka wakawa dissolved kwenye vizazi vya HOMOSAPIENS

Huko ASIA kulikuwa na specie ya kibinadamu inaitwa DENISOVAN ambao nao ni extinct ,hawa ndio walicontribute Genetic pool ya watu wa ASIA nadhani baada ya kuchanganyika na HOMOSAPIENS toka AFRICA ,huku Africa tukabaki HOMOSAPIEN original......

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu/watu weupe ni albino wa Kiafrika ambao walitengwa. Wakaenda huko kaskazini kwenye baridi na kutokea wazungu.
 

Mkuu inategemea unazungumzia “zamani” gani
Kabla wazungu hawajafika huku afrika hizo Hadithi hazikuwepo sababu tulikua wausi watupu

Ukichanganya mambo ya IMANI na jambo lolote lile lazima utapata hekaya za kufikirika zaidi kuliko uhalisia na FACT

Fact ni kwamba wazungu walitangulia kuyajua maarifa kabla yetu

Mashariki ya kati wana historia ya dini zaidi lakini historia ya maisha kwa ujumla wazungu wapo deep sana

Dola la kibabe la Rumi ndilo lililoeneza historia ya mashariki ya kati kisha ukafata upanga wa Mudi na ma khalifa waliomfuata
Hawa ndio walisamabaza kwa NGUVU imani ya mashariki ya kati
 
Ok
 
Ukichanganya mambo ya IMANI na jambo lolote lile lazima utapata hekaya za kufikirika zaidi kuliko uhalisia na FACT!
Kwa mtazamo wako huu Mayu naomba uniwekee fact na hekaya na tofauti zake[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi Wana Jf Jamii Itelligence,
Mambo yasiwe mengi sana, ili kumpata huyu mtoa hoja, ni lazima tuzame sana tena kwa undani zaidi ktk " ELIMU" tuitazame DUNIA hii ilianzaje, Ina umri gani, viumbe hai walianza lini, na viumbe vyenye akili vilianza lini, vilitokea wapi? Kwa nini? n.k
Kidogo tu hebu turudi kwenye vyanzo vya hizi dini zetu zote chimbuko lake wapi? Dini na na M/MUNGU hauwezi kuvitenganisha!
Kwa msaada kidogo tu, hebu tukisome kijitabu kiitwacho "THE END OF THE DAYS" na ndg. Zachariah Sitchin.
Soma, usijali kama ni hadithi au la, tafakari, ongeza maarifa kwa kusoma vitabu vingi zaidi, fanya tafiti, pata uelewa zaidi, nafikiri utapata vitu vyenye akili na faida zaidi., " KUMBUKA...... Mshike sana ELIMU usimwache ...........!
Karibu.
 
Soma, usijali kama ni hadithi au la, tafakari, ongeza maarifa kwa kusoma vitabu vingi zaidi, fanya tafiti, pata uelewa zaidi, nafikiri utapata vitu vyenye akili na faida zaidi., " KUMBUKA...... Mshike sana ELIMU usimwache ...........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…