[emoji23] [emoji23] [emoji23] mmute mwisho wa siku mnara wa babeli ndio jibu pekee pale Mungu alipowachafulia binadamu usemi ili wapate kuenea juu ya uso wa dunia.Huenda hapo ndipo walipokuja kupatikana mataifa na rika mbalimbali waAsia, waafrika wazungu etc hata ktk tofauti zao za lughamshana jr wachina asili yao wapi?
Huyo kushi alizaa hao blacks na watu wa wapi?Badala ya kuzungumzia kuhusu mzungu nadhani ni bora tuzungumzie ipi haswa ni asili yetu watu weusi?,
kila kitu kinaelezwa ndani ya biblia, baada ya gharika ya nuhu ambaye alikuwa na wanaye watatu, ham, shem na sijui yafethi hivi, ikatokea mmojawapo akalaaniwa na baba yao(mzee nuhu) ndio kuanzia hapo huyo mwana aliyemlaani akawa anaitwa 'kushi' maana yake ni black, na huyo ndiye baba wa blacks wote
Kwakweli hata mimi pia sifaham, biblia imetuachia maswali mengi sana hasahasa katika agano la kaleHuyo kushi alizaa hao blacks na watu wa wapi?
Sijawahi pata jibu ya swali hili kuhusu huyu kushi aliyelaaniwa wanayemzushia kuwa ni mwanzilishi wa kizazi cha waafrika.Kwakweli hata mimi pia sifaham, biblia imetuachia maswali mengi sana hasahasa katika agano la kale
Inawezekana mitume walikuwapo ila historia yao haikiandikwa popoteKweli kiongozi Asili ya ulimwengu ni mashariki ya kati na si vinginevyo.Mitume wote wametoka hapo hakutoka hata mmoja Ulaya wala Amerika wala Africa japo haikuwepo zama hizo.
umedandia treni kwa mbele hebu rudia kusoma uzi kwanza halafu ndiyo ureplyKweli kiongozi Asili ya ulimwengu ni mashariki ya kati na si vinginevyo.Mitume wote wametoka hapo hakutoka hata mmoja Ulaya wala Amerika wala Africa japo haikuwepo zama hizo.
Naongezea mnofu tu hao hao israelites ndio wanaodhamini mradi wa microchips na vi2 vingine ambavyo vinampinga mungu mfano masons na secret societies nyengine fuatilia habari ya rockerfeller familynaona unataka ulete habari za makinikia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
BTW iko hivi dunia inaendeshwa na mashariki ya kati kupitia Israel ( taifa teule?) Na anayetumika kufanya hiyo kazi ni mzungu kwa maelekezo ya Israeli
kwa maana yako blacks tumelaaaniwa NIKISEMA BIBLE INAWABEBA WAZUNGU MNABISHA KWA HERUFI KUBWA!!? huyo mungu wa bible mm simuamini kama anaubaguzi kiasi hiki? yaani abariki weupe aache sisi blacks .Badala ya kuzungumzia kuhusu mzungu nadhani ni bora tuzungumzie ipi haswa ni asili yetu watu weusi?,
kila kitu kinaelezwa ndani ya biblia, baada ya gharika ya nuhu ambaye alikuwa na wanaye watatu, ham, shem na sijui yafethi hivi, ikatokea mmojawapo akalaaniwa na baba yao(mzee nuhu) ndio kuanzia hapo huyo mwana aliyemlaani akawa anaitwa 'kushi' maana yake ni black, na huyo ndiye baba wa blacks wote
Aliyelaaniwa ndo baba wa Misri na KushBadala ya kuzungumzia kuhusu mzungu nadhani ni bora tuzungumzie ipi haswa ni asili yetu watu weusi?,

Ni unabii unatimia wanafadhili kwa siri ila mtendaji ni mzunguNaongezea mnofu tu hao hao israelites ndio wanaodhamini mradi wa microchips na vi2 vingine ambavyo vinampinga mungu mfano masons na secret societies nyengine fuatilia habari ya rockerfeller family
Nabii mossa alitokea wapi? Au Egypt sio AfricaKweli kiongozi Asili ya ulimwengu ni mashariki ya kati na si vinginevyo.Mitume wote wametoka hapo hakutoka hata mmoja Ulaya wala Amerika wala Africa japo haikuwepo zama hizo.
kwa maana yako blacks tumelaaaniwa NIKISEMA BIBLE INAWABEBA WAZUNGU MNABISHA KWA HERUFI KUBWA!!? huyo mungu wa bible mm simuamini kama anubaguzi kiasi hiki? yaani abariki weupe aache sisi blacks .pambafffff
Aliyelaaniwa ndo baba wa Misri na Kush
Aliyelaaniwa ndo baba wa Misri na Kush
DuuuuAliyelaaniwa ndo baba wa Misri na Kush
Futa kauli yako baba wa misri ndio baba yetu na ndipo mungu alipotutelekeza na kuamisha baraka kwa watu weupe ambao walikua waosrael Amun ra ndipo alipohamishia baraka izo ukoAliyelaaniwa ndo baba wa Misri na Kush