Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

Naongezea mnofu tu hao hao israelites ndio wanaodhamini mradi wa microchips na vi2 vingine ambavyo vinampinga mungu mfano masons na secret societies nyengine fuatilia habari ya rockerfeller family
Not Isralites but Jews
Hawa ni akina Asheknaz jews wanaojiita Israel

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
mshana jr hebu pitia The book of Enoch kidogo, may be there are some clues to it
 
hamu alimkosea Baba yake Nuhu. hamu alizaa Kushi ambae Ni Nubi,Misri,puti na kanaani. Nuhu alimlaani kanaani hakumlaani kushi au hamu.Kushi ipo Kati ya Ethiopia na Sudan kama sijajosea
Asante kwa kumpa taarifa kijana maana alilishwa tango.pori akalimeza

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
unaelewa maana ya scandnavia? je unawajua wa scandnavia ni watu wenye asili ya wapi? uingeereza hakuna asili ya scandvania hebu jaribu kufuatilia historia ya akina vikings unaweza pata picha... nimechogundua ni kwamba hata maana ya mzungu hauijui na thats why unazunguka mbuyu tu mkuu?
 
Ndio bloodline yao hao wazungu na ndio.maana wana macho ya blue

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app

unaskia ila huna ushahidi na sio kweli hao wanaitwa mohicans..... na wengi wao wana abudu mizimu yao pamoja na Mungu jua
 
mwanzo wa dunia ni upi? na binadam wa kwanza walikua wa rangi gani?
Rangi yake ni ile ambayo JUA halimsumbui!
Maana Mungu aliumba dunia na.mazingira ambayo huyo kiumbe atakayeishia humo yatamfaa.

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Rangi yake ni ile ambayo JUA halimsumbui!
Maana Mungu aliumba dunia na.mazingira ambayo huyo kiumbe atakayeishia humo yatamfaa.

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Huyu binadam wa kwanza ni nani? na alikua na rangi gani? jibu swali mkuu.....
 
Mkuu definition ya mzungu nimetumia waliyokuwa wanatumia wamarekan katika sensa zao za mwanzo. Na pia definition hiyo hiyo ilitumiwa na wanazi ambapo pure mzungu ni mscandinavia ambao ndio hao wamesambaa uingereza, ujeruman na mataifa mengine ya ulaya. Warumi waliwaita barbarians yaani wasio staarabika.

Labda utupe wewe definition yako ya wazungu?
 
toa maana sahihi ya Mzungu ni nani? nadhani tukianzia tunaweza pata pakuanzia huu mjadala....
Wazungu zamani waliitwa Barbaric walikuwa wanaishi tu huko.kama.wanyama hata hao warumi walikuwa hawaendi mitaa ya huko juu.maana walikuwa hadi wanakulana nyama aka Canibalism ndio.ilianzia huko. Walikuwa wako hovyo tu. We Angalia Waitaliano walivyo tofauti na waingereza na wajerumani.( Warumi wa zamani walikuwa kama wekundu hivi) (Waisrael wa zamani walikuwa technically blacks)

Baadae Warumi ndio walipanda huko juu na kuwafundisha hawa (Wazungu aka Barbaric jinsi ya kuishi kistaarabu)

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 

hahahaha kwanza unatakiwa ujue watu wa scandnavia ni watu wenye asili ya scandnavian countries ambazo zinapatikana northen part of europe ambazo ni sweden, norway, finland and some part of the netherlands..... uingereza kuilkua na makabila makubwa mawili ambayo ni wa angeles na wa saxon...... unapo chukua muunganiko wa anglo saxon ndio unawapata waingereza.

nakushauri fanya utafiti zaidi ili upate definition ya universal meaning kwanza tafsiri ya mzungu kwa kingereza na pia mzungu ni mtu wa aina gani na asili ipi na tabia zipi......some times zile google edfinition za ku copy some where zinaweza kuku misslead
 

Warumi nao ni watu gani? tuwaweke kwenye kundi la blacks au wana kundin lao? vipi kuhusu wasomali, wa elitrea na wa ethiopia nao tuwaweke katika kundi la blacks au nao sio weusi na sio wa africa?
 
waafrika ni wapuuzi kuamini ujinga wa kuran na biblia..you are so very blinded!!!!
 
Niwakazi

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
naona unataka ulete habari za makinikia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
BTW iko hivi dunia inaendeshwa na mashariki ya kati kupitia Israel ( taifa teule?) Na anayetumika kufanya hiyo kazi ni mzungu kwa maelekezo ya Israeli
AzcAAAaAaZZzZzZAza

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…