Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

naona unataka ulete habari za makinikia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
BTW iko hivi dunia inaendeshwa na mashariki ya kati kupitia Israel ( taifa teule?) Na anayetumika kufanya hiyo kazi ni mzungu kwa maelekezo ya Israeli

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
1.Vipi tunajaribu kugundua asili ya mwafrika kwenye vitabu vya historia vya wazungu?
2.Kwanin kwenye kila baya linalotukabili tunadhani mzungu ndie chanzo?
3.Kama waafrika,ni hatua gani tuchukue ili 'tupambane hali zetu"
Nawaza kwa madoido!!

Sent from my SM-N920I using JamiiForums mobile app
 
waafrika ni wapuuzi kuamini ujinga wa kuran na biblia..you are so very blinded!!!!

ni kweli mkuu upo sahihi na hapo ndio walipotushikia masikio siku tukijitambua na kurudi katiaka asili ndio itakua mwisho wao.
Let's try to have a critical argument without teasing others pls

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Let's try to have a critical argument without teasing others pls

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
that is no teasing,that is the truth and it is to be told,heard and seen...no disrespect mkuu but if you do believe in the bible or quran,then,you are in a deep sleep.
 
that is no teasing,that is the truth and it is to be told,heard and seen...no disrespect mkuu but if you do believe in the bible or quran,then,you are in a deep sleep.
I do believe in the Holy Bible and I know why I have chosen to believe

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Aise.... Hii mpya
 
waafrika ni wapuuzi kuamini ujinga wa kuran na biblia..you are so very blinded!!!!
duh ID yako yenyewe inaonyesha ww ni RASTA MAN ila hilo dhehebu la nyabhingi mbona lipo uganda mkuu au hata hapa lipo nn?
 
Nakuunga mkono mtoa post kuwa wazungu ni aliens au mashetani ndo maana historia yao inatatanisha na haijaandikwa popote, hawa wamelaaniwa, pia Mashariki ya kati na Afrika pamebarikiwa. Amen

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Aaamen

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Mmm yes, sawa,umeandika.Ila mkuu nachelea kusema kwamba umeandika haya uliyoandika kwa sababu ya kutolijua neno la Mungu.Ni kweli asili ya mwanadamu ni mashariki ya kati na hapo ndipo Mungu alipo "plant" wanadamu wa kwanza, Adam na Hawa.Ongezeko la mwanadamu na utawanyiko ulianzia hapo.Sheria ya Mungu ni ya "slow increase." Mungu angependa angeijaza dunia na wanadamu na vyote vilivyomo siku moja,lakini hakufanya hivyo.Why?Kwa kuwa anafurahi anapoona vitu vikiongezeka au vikikua pole pole,kwa kuwa in that way system nzima inakuwa well established,na ya kudumu.Hapa ndipo His majesty inapodhihirika.

Equally for example on a smaller scale, hataki tukope,anataka tutajirike kwa kudunduliza for the same reason, lakini pia kwa sababu anataka uthamini ulicho nacho na pia kwa kuwa mali iliyopatikana kwa njia zisizo halali,haidumu as mentioned earlier!

Mkuu ukichunguza Biblia vizuri utaona very clearly the origin of races baada ya utawanyiko from the garden of Eden.Hii hata hivyo inahitaji effort.Si kweli mkuu kwamba Wazungu origin yao sio duniani.Jinsi wanadamu walivyozidi kutawanyika kwa sababu ya confusion in language ambayo Mungu aliifanya makusudi,ndivyo jinsi changes Mungu alivyozifanya kwa mwanadamu for adaptability purposes.Kuna vitu viwili vya msingi hapa,Melanin na fat depostion.As you move closer to the Equator,Melanin inaongezeka,making you darker and more tolerant to cancer and other skin diseases.Kwa hiyo Melanin is an adaptation factor.The closer you are to the equator,the more Melanin you have and vice versa.

On the other hand an increase in fat deposition makes your face or eyes roundish as noted in the Chinese,Koreans and Japanese.Hii aliifanya ili kuleta diversity.God cherishes diversity as you can see in different animals,insects,birds,plant species etcetera.

The different races only proves Gods power and mighty in creation,imagination and foresight.Google "Where did the different races come from?" ulione hili.
 
Unasema nitumie wote walikuwa wa Mashsriki ya kati, mbona mtume Paulo alikuwa Mtume (Mzungu wa Italia ya Sasa. Kaisari alikuwa Mzungu pia. Ukiangalia miji kama Korintho na Thesalonike ni miji ya ulaya katika nvhi ya Ugiriki. Kwa hiyo wazungu ni watu wa kawaida kama wewe tu isipokuwa rangi tu ndiyo inayoleta tofauti.

Pia ukisoma katika kitabu cha Mwanza utaona kuhusu wana wa Shemu, Yapheti na Hamu utaona ndio waliozaa wazungu, Waarabu na Waafrika. Nenda ukasome Biblia ili ujue kwa kind mambo haya

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
kuna story ya biblia juu ya malaika waliotamani mabinti wa wanadamu baadae wakashuka duniani wakawaingilia wakazaa majitu ila haikueleza mwisho wake hao ndio wazungu wenye laana ya asili
Kwa kutumia uwezo wao, walikwepa kuzamishwa na gharika kwa kujibadili na kuwa roho. Wapo mama mapepo na majini.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Nakuunga mkono mtoa post kuwa wazungu ni aliens au mashetani ndo maana historia yao inatatanisha na haijaandikwa popote, hawa wamelaaniwa, pia Mashariki ya kati na Afrika pamebarikiwa. Amen

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app

Kuna baadhi wanaamini kuwa hao watu weupe walitengenezwa asa a result ya research mbalimbali walizokuwa wanazifanya Blacks wakati huo wako kwenye power zao, Ancient Babylon, Egypt, China, India, Spain, Peru nk
 
Kuna nahali jamaa walituzidi akili kidogo sana wakatupiga dafrau double impact! Ukisoma ancient history Afrika ilikuwa civilized long time ago

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Kuna nahali jamaa walituzidi akili kidogo sana wakatupiga dafrau double impact! Ukisoma ancient history Afrika ilikuwa civilized long time ago

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app

Inawezekana Musa aliondoka na uwezo wa Waafrika pale Misri? Kuna watu wanaamini hivyo search it
 
duh ID yako yenyewe inaonyesha ww ni RASTA MAN ila hilo dhehebu la nyabhingi mbona lipo uganda mkuu au hata hapa lipo nn?
I and I Haile Ras Tafari,hilo ni tawi mojawapo la maras...napenda falsafa yao lakini mimi ni Egyptologist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…