Je Wazungu wapo kwenye matayarisho ya Mwisho ya kuihama dunia?

Je Wazungu wapo kwenye matayarisho ya Mwisho ya kuihama dunia?

Kama kawaida yetu watacgukua baadhi ya watumwa na wengine tutajipeleka huko kama wakimbizi
Tukae hapa tufanye nini?
 
Aisee kuishi kote huku duniani, hujui bado wanadamu tunaishi na kufa?
Mifumo ya dunia hubadilikabadilika kutokana na wakati. Walikuwepo wa misri, wa Persia, warumi, WAINGEREZA, Wamarekani na baadae utawala wa Yesu
Wao wakidhani wataishi milele wakadekeza watoto wao, sasa inabidi tu tuchukue nafasi maana hakuna wakuzikalia
 
Back
Top Bottom