Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Nov 2, 2024 #21 Kama kawaida yetu watacgukua baadhi ya watumwa na wengine tutajipeleka huko kama wakimbizi Tukae hapa tufanye nini?
Kama kawaida yetu watacgukua baadhi ya watumwa na wengine tutajipeleka huko kama wakimbizi Tukae hapa tufanye nini?
A Ame JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 6,468 Reaction score 5,626 Nov 2, 2024 #22 ward41 said: Aisee kuishi kote huku duniani, hujui bado wanadamu tunaishi na kufa? Mifumo ya dunia hubadilikabadilika kutokana na wakati. Walikuwepo wa misri, wa Persia, warumi, WAINGEREZA, Wamarekani na baadae utawala wa Yesu Click to expand... Wao wakidhani wataishi milele wakadekeza watoto wao, sasa inabidi tu tuchukue nafasi maana hakuna wakuzikalia
ward41 said: Aisee kuishi kote huku duniani, hujui bado wanadamu tunaishi na kufa? Mifumo ya dunia hubadilikabadilika kutokana na wakati. Walikuwepo wa misri, wa Persia, warumi, WAINGEREZA, Wamarekani na baadae utawala wa Yesu Click to expand... Wao wakidhani wataishi milele wakadekeza watoto wao, sasa inabidi tu tuchukue nafasi maana hakuna wakuzikalia
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Nov 2, 2024 #23 jingalao said: wewe endelea kuongelea demokrasia na kura wakati wenzako wana mpango wa kupaa Click to expand... Ndio maana nasema hueleweki rudia kusoma ulichoandika na nilichojibu. Jifunze kusoma kwa ufahamu.
jingalao said: wewe endelea kuongelea demokrasia na kura wakati wenzako wana mpango wa kupaa Click to expand... Ndio maana nasema hueleweki rudia kusoma ulichoandika na nilichojibu. Jifunze kusoma kwa ufahamu.
N Nunua Toka UK JF-Expert Member Joined Apr 17, 2023 Posts 265 Reaction score 540 Nov 2, 2024 #24 Sasa sisi wa kuzamia kwa kujazana kwenye boti itakuwaje!