Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Siku za mwizi 40
 
hivi unafahamu gharama ya kununua Airtime kwenye media espicially televisheni? acha kuongea ushuzi wewe Kiba hana uwezo wa kununua huo muda tena siku nzima usifanye mchezo
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] msafara wa Pundamalia na Punda mzigo hawakosi
 
alafu sasa wanachoharibu ni kwamba wameenda kusema kwa youtube sipati picha youtube wawajibu kuwa wamewakaushia tu kwa kupunguza views maana wamedetect robots kama laki na kosa lake ni kuban account au kufuta video. as you know youtube wanawatreat watumiaji wote kama familia moja hakuna mkubwa wala mdogo pale.
 
Mbona kwa baraka da prince amuku ongelea ila kwa ali kiba nd mna komaa nalo sana......bora yeye za baraka zilkua zina shushwa kabsa una kuta saivi ina 70k badae una kuta 45k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru kutambua watu sahihi wa kulinganisha na Kiba.
 
Huo wimbo usipofunguliwa mada kama hivi unakufa kifo cha mende soon.
Hakuna wimbo mzuri kama huu nakuambia.
Sema mkileta za kushindanisha na mafanikio ya watu, ndo mtaona haufai. Lakini kwa mtu anaye feel muziki kama mimi, hakika hapa @Alikiba ameutendea haki huu mdundo na kila wakati maurudia na nyimbo za aina hii huishi miaka mingi na husikilizwa na watu wa lika zote
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] acha hizo,wimbo ukibuma umebuma tu kingine wcb hawajatoa kiki yoyote au wimbo ili team kiba wapate kisingizio cha kuchangiwa na wcb
Tunaomba wasafi waokoe jahazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…