Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Amekuta kwangwaru ni national anthemNyimbo siyo mbay ila timing ndiyo mbaya ( mvumo wa radi umekutana na kichwa cha kondoo [emoji23][emoji23][emoji23] )
Hahahahhaahaha eti waliomsaliti kipind cha mapinduziWimbo tokea jana unapiga Mark time pamoja na promo ya masaa 18 CMG,wamelipia promo insta lkn limegoma,ngoja tuangalie labda Mange ataokoa jahazi na wafuasi wake waliomsaliti kipindi kile cha maandamano
Pata Soda baridiii Mkuu.Hiyo ndio fanbase ya Kiba hakuna hujuma, viewers waongezeke watoke wapi sasa? Kuna wajinga wa technology wanashinda youtube eti waongeze views awajui hakuna wanachoongeza.
Wcb kumsaidia wangetoa nao wimbo labda ingempa kick kidogo ila kwa kumpotezea ata angekaa wiki nzima ofisi za cloudsmedia bado awezi ongeza washabiki.
The current population of the United States of America is 326,437,355 as of Friday, May 11, 2018, based on the latest United NationsAkili za Mange bhana, eti hata Nicky Manaj kaflop. Kweli? Katoa ngoma 6 days ago, leo imegonga views milioni 26, anataka kumfananisha na huyu Bwana harusi?
The current population of the United States of America is 326,437,355 as of Friday, May 11, 2018, based on the latest United NationsBongo bado sana tunashindana views laki.
Childish Gambino kaweka rekodi views zaidi ya mil 100 kwa week.
do you think all those views 100 m is only from US?The current population of the United States of America is 326,437,355 as of Friday, May 11, 2018, based on the latest United Nations
Asimtafute wa kumsukumia Jumba Bovu.Katika hali isiyokuwa ya kawaida views kwenye wimbo wa Ali Kiba "Mvumo wa Radi" imeporomoka hadi kufikia 737K,itakumbukwa kwamba masaa kadhaa yaliyopita wimbo huo mpya unaotamba kwenye media mbalimbali nchini ulikuwa na views 781K...ambapo idadi hiyo ilidumu kwa muda mrefu jambo ambalo halkkuonekana kuwa la kawaida hadi lilipotiwa na kutafutiwa ufumbuzi.
Hali kama hii iliwahi kumkuta msanii Baraka da Prince mapema mwaka huu baada ya kutangaza kujitoa Rock Star.
Je kuna tatizo kwenye akaunti ya Ali Kiba?
Au kuna wahuni wanajaribu kulipiza kisasi?
View attachment 776299
Kuna Auditing imepita.Jana views walikuwa 781 k now ukiangalia unakuta 741k unazungumjiaje hili suala kwa maoni yako?
Auditing imepita Kaka, hakuna fursa ya Janja janja.
Haiwez kuwa sababu kwani kwenye seduce me Ali alifika Viewers M1 ndani ya saa 24. Tena akiwa na less subscribers
The current population of the United States of America is 326,437,355 as of Friday, May 11, 2018, based on the latest United Nations
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nyimbo siyo mbay ila timing ndiyo mbaya ( mvumo wa radi umekutana na kichwa cha kondoo [emoji23][emoji23][emoji23] )