Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Hiyo ndio fanbase ya Kiba hakuna hujuma, viewers waongezeke watoke wapi sasa? Kuna wajinga wa technology wanashinda youtube eti waongeze views awajui hakuna wanachoongeza.

Wcb kumsaidia wangetoa nao wimbo labda ingempa kick kidogo ila kwa kumpotezea ata angekaa wiki nzima ofisi za cloudsmedia bado awezi ongeza washabiki.
Pata Soda baridiii Mkuu.
 
Bongo bado sana tunashindana views laki.
Childish Gambino kaweka rekodi views zaidi ya mil 100 kwa week.
 
Akili za Mange bhana, eti hata Nicky Manaj kaflop. Kweli? Katoa ngoma 6 days ago, leo imegonga views milioni 26, anataka kumfananisha na huyu Bwana harusi?
The current population of the United States of America is 326,437,355 as of Friday, May 11, 2018, based on the latest United Nations
 
The current population of the United States of America is 326,437,355 as of Friday, May 11, 2018, based on the latest United Nations
do you think all those views 100 m is only from US?
Then what do you think about PSY and population from his country?
He is from a small country but 3.1 billion views.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida views kwenye wimbo wa Ali Kiba "Mvumo wa Radi" imeporomoka hadi kufikia 737K,itakumbukwa kwamba masaa kadhaa yaliyopita wimbo huo mpya unaotamba kwenye media mbalimbali nchini ulikuwa na views 781K...ambapo idadi hiyo ilidumu kwa muda mrefu jambo ambalo halkkuonekana kuwa la kawaida hadi lilipotiwa na kutafutiwa ufumbuzi.
Hali kama hii iliwahi kumkuta msanii Baraka da Prince mapema mwaka huu baada ya kutangaza kujitoa Rock Star.

Je kuna tatizo kwenye akaunti ya Ali Kiba?
Au kuna wahuni wanajaribu kulipiza kisasi?
View attachment 776299
Asimtafute wa kumsukumia Jumba Bovu.
Apambane na hali yake.
 
Ahahahaaaah...
Nakumbuka Alikiba alisema anasubiri video ya Ommy Dimpoz ifikishe viewers milioni tatu ndio atatoa wimbo mpya..!
Kwakuwa mashabiki wake walikua na kiu kubwa na kazi yake mpya waliamua kuivamia YouTube ili viewers milioni tatu zifike haraka ili waweze kupata kazi mpya ya msanii wao kipenzi..!
Lakini mpaka Alikiba anakuja kutoa wimbo wake mpya "mvumo wa radi" video ya Ommy Dimpoz haikufanikiwa kuwa hata na viewers milioni moja,mpaka sasa video ya Ommy Dimpoz haijafikisha viewers milioni moja..!

MASHABIKI wa Alikiba muache kumtafuta mchawi nani,ukweli ni kwamba siku zote upinzani na Diamond/WCB ndio umekua ukiboost nyimbo za Alikiba,safari hii naona watoto wa WCB wamepiga kimya kama hakuna kinachoendelea hivyo mashabiki wa Alikiba wamekosa kitu cha kuwatia HASIRA na kuwafanya wakeshe YouTube..!
Utulivu wa WCB umewafanya mashabiki wa Alikiba wapunguze kasi ya kuupromote wimbo wa msanii wao pendwa kwenye mitandao ya kijamii,utulivu wa WCB umemfanya mpaka Mange Kimambi ajisahau kumpa support msanii wake pendwa..!


WCB wakiendelea kumpuuzia hivihivi Alikiba kila anapokaribia kutoa au anapotoa kazi zake hivi ndivyo hali itakavyokua..!
Uhasama wa Diamond na Alikiba unafaida kubwa sana kwa Alikiba,ila hauna faida yoyote kwa Diamond..!
 
Dooh sasa kwanini amekimbia vevo? Au ndo tuamini vevo kununua views ni kazi kaamia huku? Asitake nipoteze imani naye bado naamini anaweza bila ujinga ujinga
 
Walimchokoza Diamond ili awajibu wapate kuboost wimbo wao, mpaka sasa kawakaushia lakini bado wanamfuatafuata tu.
 
Back
Top Bottom