The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,408
mkuu mi sihuaiki isije wakaanza kunitafuta kwa mapanga bureNakumbuka ulisema mzee,,au wewe ndo umeweka waya wa earth huko youtube,maana mvumo wa radi umedunda..[emoji23][emoji23][emoji23]
wale wanao fikisha 1.7B viewers hawapitii hiyo hali?Youtube hufanya hivyo mara nyingi kwa almost kila video. Ni kwa ajili ya verification za views. Especially zinazokuwa haraka.
Kuna namba common ambazo view huwa zinagandia.
Kwa maelezo zaidi google hiyo hali...
Juzi nilisema wimbo huu ukifikisha views 1M ndani ya siku tatu najivua uteam WCB
Nimeucheki sijavutiwaMimi ni mmoja Ambao sijautazama huo wimbo zaidi nakuta nao instagram umepostiwa kama Tangazo basi siku nikitulia nitauangalia
Halafu mnajua kwamba amelipia na Instagram? Hivi huku sio kununua views alikosema Ommy Dimpoz?[emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo lawama apewe Ruge na mashabiki wa Kiba, haiwezekani mbwembwe zote hizi za kupamba wimbo na kutoa povu msanii akiksolewa halaf hawaangalii wimbo kwa You tube. Put your money where your mouth is.
Pia kitendo cha kina Diaomond kuto leta kituko chochote ku block wimbo nadhan kime fanya mzuka usiwe mkubwa may be. Nadhani WCB walijifunza kwenye ile ishu ya kipindi cha seduce me.
Kwa wale tusio na timu tunaendelea kuangalia tuu huku tunakula diamond karanga tunakunywa na mofaya.
MmhhYoutube hufanya hivyo mara nyingi kwa almost kila video. Ni kwa ajili ya verification za views. Especially zinazokuwa haraka.
Kuna namba common ambazo view huwa zinagandia.
Kwa maelezo zaidi google hiyo hali...
kumbe we ndo kilaza wa instagram?Halafu mnajua kwamba amelipia na Instagram? Hivi huku sio kununua views alikosema Ommy Dimpoz?[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 776182
Hawa wana tafuta kiki kumuhusisha Diamond naujinga wao hahaha wanataka views kwa kupakazia kuwa wana hujumiwa.... sasa viewers wataongezeka vipi ikiwa hakuna anaye angalia tena?Huo wimbo usipofunguliwa mada kama hivi unakufa kifo cha mende soon.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kibakuli kaona atoe na machozi watu wakaview masikini[emoji23][emoji23][emoji23]
Alisema hatoi wimbo mpaka ommy afikishe views 3M, hivi zilifika?
Haya akatoa wimbo wake lkn hata view 1M hazijafika ndan ya 24hrs.
Kweli mbeleko ya wcb kaikosa this time
Nenda ukaongeze views bna.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usitupotoshe nduguMmhh