Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Youtube hufanya hivyo mara nyingi kwa almost kila video. Ni kwa ajili ya verification za views. Especially zinazokuwa haraka.
Kuna namba common ambazo view huwa zinagandia.
Kwa maelezo zaidi google hiyo hali...
 
wale wanao fikisha 1.7B viewers hawapitii hiyo hali?
 
Enzi hizi unatoa msanii wa kizazi kipya unatoa nyimbo unaiita "mvumo wa radi",na sikinde ngoma ya ukae waziitaje nyimbo zao....kiukweli niliposikia tu hilo jina sijavutiwa hata kuutafuta kuusikiliza wala kuuangalia.
 
Alikiba ni msanii wa hovyo sana views za you tube haziji bila kufanya maandalizi yanayoleta views....Alikiba hana uwezo wa kupata views nyingi bila kupata back up ya Diamond na ndio walichotaka wao na washirika wao.....Hata ile ya kumfananisha Diamond na mwanamke ilikuwa ina lengo la kupata attention ya Diamond...

Hakika Safari hii Diamond amepindua meza kibabe,,...yani kala kimya ana muacha apambane na hali yake najua inafanyika kila njia ili kupata attention ya Diamond....
Hao viewers ndio uwezo halisi wa Kiba kabisa ........
 
Hiyo lawama apewe Ruge na mashabiki wa Kiba, haiwezekani mbwembwe zote hizi za kupamba wimbo na kutoa povu msanii akiksolewa halaf hawaangalii wimbo kwa You tube. Put your money where your mouth is.
Pia kitendo cha kina Diaomond kuto leta kituko chochote ku block wimbo nadhan kime fanya mzuka usiwe mkubwa may be. Nadhani WCB walijifunza kwenye ile ishu ya kipindi cha seduce me.

Kwa wale tusio na timu tunaendelea kuangalia tuu huku tunakula diamond karanga tunakunywa na mofaya.
Halafu mnajua kwamba amelipia na Instagram? Hivi huku sio kununua views alikosema Ommy Dimpoz?[emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20180512-182315.jpg
 
Youtube hufanya hivyo mara nyingi kwa almost kila video. Ni kwa ajili ya verification za views. Especially zinazokuwa haraka.
Kuna namba common ambazo view huwa zinagandia.
Kwa maelezo zaidi google hiyo hali...
Mmhh
 
Kibakuli kaona atoe na machozi watu wakaview masikini[emoji23][emoji23][emoji23]

Alisema hatoi wimbo mpaka ommy afikishe views 3M, hivi zilifika?

Haya akatoa wimbo wake lkn hata view 1M hazijafika ndan ya 24hrs.

Kweli mbeleko ya wcb kaikosa this time
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom