Nimejitahidi kadri ya uwezo wetu ila nimesikia Harmonize alisomea IT so amezuia view yangu isiongezeke.Nenda ukaongeze views bna.
Na nyie si mmesomea. Au mganga hajigangi?Nimejitahidi kadri ya uwezo wetu ila nimesikia Harmonize alisomea IT so amezuia view yangu isiongezeke.
Tutaziongeza tuu views ndio unaona tuna zishughulikia hapa tusha jua kina nan wana haribuNa nyie si mmesomea. Au mganga hajigangi?
Wimbo umebuma anatafutwa mbuzi wa kafara. Nilikua naongea na mtu jana ananiambia kiba alivyokaa kimya aliwapa watu hamu ya kusikia wimbo mpya. Lakin expectation vs reality sasaTutaziongeza tuu views ndio unaona tuna zishughulikia hapa tusha jua kina nan wana haribu
Ila tuwe wakweli bila kumhusisha diamond ni kaz sana kwa kijana wetu kutoboa. Ila namlaumu Ruge atamshindishaje dogo studio sku nzima halaf hana means za kumuwezesha ang'ae!Wimbo umebuma anatafutwa mbuzi wa kafara. Nilikua naongea na mtu jana ananiambia kiba alivyokaa kimya aliwapa watu hamu ya kusikia wimbo mpya. Lakin expectation vs reality sasa
Anapataga mbeleko ya mondi. Ile juzi alivyokua anamsema nikakunja vidole mondi asimjibu. Ingekua ndio booster yake[emoji23][emoji23][emoji23]Ila tuwe wakweli bila kumhusisha diamlnd ni kaz sana kwa kijana wetu kutoboa. Ila namlaumu Ruge atamshindishaje dogo studio sku nzima halaf hana means za kumuwezesha ang'ae!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anapataga mbeleko ya mondi. Ile juzi alivyokua anamsema nikakunja vidole mondi asimjibu. Ingekua ndio booster yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Blauz fm inabid watambue zama zimebadilika. Siku hizi mambo ni youtube so hata ukimpamba vp msanii hamna issue.
Mbona hukunitafuta [emoji4][emoji4][emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I missed you
Acha habar zako wimbo mbaya nani auhujumu...video kajitaid ila wimbo hamna kituNi takribani sasa masaa 16 views za wimbo wa Ali kiba zimesimama na hazibadiliki , zinasoma laki saba na ushehe kwa takribani saa 16. Kiufupi zimeganda na si kwamba haiangaliwi no inaangaliwa lakini count haiongezeki.
Sote tunajua Bifu kati ya Ali kiba na WCB, sasa je inawezekana wcb ndio inayomhujumu Ali kiba you tube.???
Basi hata kama c wcb moja kwa moja inawezekana hata shabikibwa wcb akafanya hujuma hiyo, kwa maana ali kiba ametumia pesa mingi kutengeza bolingo yake ya congo lakini ndo hivo hujuma.
Asanteni nawasilisha
Pia kwenye nyimbo kamtaja boss lady ili watu waanza kudis hahahaAlikiba ni msanii wa hovyo sana views za you tube haziji bila kufanya maandalizi yanayoleta views....Alikiba hana uwezo wa kupata views nyingi bila kupata back up ya Diamond na ndio walichotaka wao na washirika wao.....Hata ile ya kumfananisha Diamond na mwanamke ilikuwa ina lengo la kupata attention ya Diamond...
Hakika Safari hii Diamond amepindua meza kibabe,,...yani kala kimya ana muacha apambane na hali yake najua inafanyika kila njia ili kupata attention ya Diamond....
Hao viewers ndio uwezo halisi wa Kiba kabisa ........
Walimfanyia figisu barakah.hahahaha nasikia mendez kakata waya unao unganisha chanel ya Kiba YOUTUBE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaaaahhh kumbe viewers wanauma hadi mmeripot YouTube [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....Nimecheka sana aisee. Eti anadai anawasiliana na Youtube. DahView attachment 776210
khaaa! aisee Wabongo kwa kuconect dots!!!Pia kwenye nyimbo kamtaja boss lady ili watu waanza kudis hahaha
khaaa! aisee Wabongo kwa kuconect dots!!!Pia kwenye nyimbo kamtaja boss lady ili watu waanza kudis hahaha