Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Nimecheka sana aisee. Eti anadai anawasiliana na Youtube. Dah
Screenshot_20180513-145750.jpg
 
Wimbo umebuma anatafutwa mbuzi wa kafara. Nilikua naongea na mtu jana ananiambia kiba alivyokaa kimya aliwapa watu hamu ya kusikia wimbo mpya. Lakin expectation vs reality sasa
Ila tuwe wakweli bila kumhusisha diamond ni kaz sana kwa kijana wetu kutoboa. Ila namlaumu Ruge atamshindishaje dogo studio sku nzima halaf hana means za kumuwezesha ang'ae!
 
Ila tuwe wakweli bila kumhusisha diamlnd ni kaz sana kwa kijana wetu kutoboa. Ila namlaumu Ruge atamshindishaje dogo studio sku nzima halaf hana means za kumuwezesha ang'ae!
Anapataga mbeleko ya mondi. Ile juzi alivyokua anamsema nikakunja vidole mondi asimjibu. Ingekua ndio booster yake[emoji23][emoji23][emoji23]

Blauz fm inabid watambue zama zimebadilika. Siku hizi mambo ni youtube so hata ukimpamba vp msanii hamna issue.
 
Anapataga mbeleko ya mondi. Ile juzi alivyokua anamsema nikakunja vidole mondi asimjibu. Ingekua ndio booster yake[emoji23][emoji23][emoji23]

Blauz fm inabid watambue zama zimebadilika. Siku hizi mambo ni youtube so hata ukimpamba vp msanii hamna issue.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I missed you
 
Ni takribani sasa masaa 16 views za wimbo wa Ali kiba zimesimama na hazibadiliki , zinasoma laki saba na ushehe kwa takribani saa 16. Kiufupi zimeganda na si kwamba haiangaliwi no inaangaliwa lakini count haiongezeki.
Sote tunajua Bifu kati ya Ali kiba na WCB, sasa je inawezekana wcb ndio inayomhujumu Ali kiba you tube.???
Basi hata kama c wcb moja kwa moja inawezekana hata shabikibwa wcb akafanya hujuma hiyo, kwa maana ali kiba ametumia pesa mingi kutengeza bolingo yake ya congo lakini ndo hivo hujuma.
Asanteni nawasilisha
Acha habar zako wimbo mbaya nani auhujumu...video kajitaid ila wimbo hamna kitu
 
Alikiba ni msanii wa hovyo sana views za you tube haziji bila kufanya maandalizi yanayoleta views....Alikiba hana uwezo wa kupata views nyingi bila kupata back up ya Diamond na ndio walichotaka wao na washirika wao.....Hata ile ya kumfananisha Diamond na mwanamke ilikuwa ina lengo la kupata attention ya Diamond...

Hakika Safari hii Diamond amepindua meza kibabe,,...yani kala kimya ana muacha apambane na hali yake najua inafanyika kila njia ili kupata attention ya Diamond....
Hao viewers ndio uwezo halisi wa Kiba kabisa ........
Pia kwenye nyimbo kamtaja boss lady ili watu waanza kudis hahaha
 
Wakina ruge ndo wamsaidie sasa,siwanajifanyaga wanajua mambo
 
Nimecheka sana aisee. Eti anadai anawasiliana na Youtube. DahView attachment 776210
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaaaahhh kumbe viewers wanauma hadi mmeripot YouTube [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....

Mondi plz endelea kupiga kimyaa wanyooke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom