Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
Nawaombeni Leo tufanye Karesearch kidogo lengo kuwatambua wenzetu wenye michango chanya Na kujenga
Kwa kutaja jina 1 tu.Kwa unayehisi anakugoga moyo wako kwa michango yake Na kukusaidia kifikra Na hata kukufumbua macho hata kuburudisha Na kuliwaza Na kuelimisha.
Atakayetajwa sana ndo mshindi naamini atajisikia vizuri Na kuzidi kutuelimisha Na kutuburudisha.
Please jina 1 tu.

mimi (wapo wengi but kwa kuwa ni sharti tumtaje 1.namtaja
BAK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nampendaga sana huyu ukhuty

hanaga maneno na mtu, hana ugomvi na mtu huku alafu mpole hana maneno makali kama wewe hapo Hello. Zake ni kufurahi tu sijawahi kumuona mgomvi

popote alipo namuombea Mungu mafanikio tele na aendelea kuwa hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…