Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Nampenda CajojoHaya ngoja tuwasubiri wakongwe wa humu mtajane tuwafahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampenda CajojoHaya ngoja tuwasubiri wakongwe wa humu mtajane tuwafahamu
Chagua mmoja tu ndugu yangu
Sawa.Ila kuna watu nimegundua wanaogopa kutaja kuepuka lawama.Na hapa kumbuka Sio kimapenzi.kumpenda MTU Sio lazima kimapenzi kuna ile hali unaona kabisa huyu Anamchango muhimu.Mfano watanzania wengi tulikuwa Na bado tunampenda Baba Wa Taifa..Kwa jili ya kujitoa kwake ushauri wake.Sasa Namna hiyo ndo ninayoisema.Sasa watu wanaogopa.Au Mods naomba mbadilishe Heading I some.MTU anayekuvutia kwa Post zake.Kidogo itaelewekaaaa.Nampenda Cajojo
Ooops love you too mzee wa bar
Haha sikunyanyapai, nilishakubaliana na hiyo hali yako mbona
Sasa hapo ndio maana nakupendagaHaha sikunyanyapai, nilishakubaliana na hiyo hali yako mbona
Nipo vizuri, mzee mwenzangu umenikimbia.Nimebaki na vijana wananisumbua sanaNipo poa, natumaini nawe pia. Nitakuja kuwasalimu🙂
Mkuu mimi ni mzima.Habari yako?Mzima weye? Coco katulia anahesabu faida. Hazuki kule tena karibu wiki sasa. 🙂🙂
Af hapo hapo yanakuwa frick sio mchezoHii wiki mapenzi yamekua on fleek
Kuna Uzi kaanzisha (jukwaa la siasa) Kuhusu Ombwe la uongozi. Wanapeana za USO.Sikupanga kuchekaa nimechekaaa sana.Aiseeeee!!Eti Juliana shonza Na washabiki wake wa Chadema...Hii Ni kweli tupu
Sent using Jamii Forums mobile app