Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Nawaombeni Leo tufanye Karesearch kidogo lengo kuwatambua wenzetu wenye michango chanya Na kujenga
Kwa kutaja jina 1 tu.Kwa unayehisi anakugoga moyo wako kwa michango yake Na kukusaidia kifikra Na hata kukufumbua macho hata kuburudisha Na kuliwaza Na kuelimisha.
Atakayetajwa sana ndo mshindi naamini atajisikia vizuri Na kuzidi kutuelimisha Na kutuburudisha.
Please jina 1 tu.

mimi (wapo wengi but kwa kuwa ni sharti tumtaje 1.namtaja
BAK.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote tu
 
Back
Top Bottom