Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
Kumbe wote wapya basi tufahamiane vizuri CajojoWala mm bado mpya sana bado hujanifahamu vzr
Kwema coco...
Kwema coco...
Mzima weye? Coco katulia anahesabu faida. Hazuki kule tena karibu wiki sasa. 🙂🙂
Nakupenda pia fisadi.
Sikupanga kuchekaa nimechekaaa sana.Aiseeeee!!Eti Juliana shonza Na washabiki wake wa Chadema...Hii Ni kweli tupuJuliana Shonza. Napenda urefu wa thread zake. Na zinachangiwa na watu wengi hasa maswahiba wake wa Chadema.
Wote tuNawaombeni Leo tufanye Karesearch kidogo lengo kuwatambua wenzetu wenye michango chanya Na kujenga
Kwa kutaja jina 1 tu.Kwa unayehisi anakugoga moyo wako kwa michango yake Na kukusaidia kifikra Na hata kukufumbua macho hata kuburudisha Na kuliwaza Na kuelimisha.
Atakayetajwa sana ndo mshindi naamini atajisikia vizuri Na kuzidi kutuelimisha Na kutuburudisha.
Please jina 1 tu.
mimi (wapo wengi but kwa kuwa ni sharti tumtaje 1.namtaja
BAK.
Sent using Jamii Forums mobile app