Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Sawa.Ila kuna watu nimegundua wanaogopa kutaja kuepuka lawama.Na hapa kumbuka Sio kimapenzi.kumpenda MTU Sio lazima kimapenzi kuna ile hali unaona kabisa huyu Anamchango muhimu.Mfano watanzania wengi tulikuwa Na bado tunampenda Baba Wa Taifa..Kwa jili ya kujitoa kwake ushauri wake.Sasa Namna hiyo ndo ninayoisema.Sasa watu wanaogopa.Au Mods naomba mbadilishe Heading I some.MTU anayekuvutia kwa Post zake.Kidogo itaelewekaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baby Mondray
STUNTER na wifi yangu jje's
Bebe Behaviourist
Daby
The Boss
mshana jr
tamuuuuu
Uncle Hance Mtanashati
QUIGLEY
Wambeke
BIGstallion
Saint Ivuga
Azarel
Asprin
Compact
Miss Chagga
Miss Natafuta
husna muba
Antonio de Guzman
UWOGA=UMASKINI
Eddy Love
Shunie
Michaelray22
Numbisa
Paprika
Inna
Valentina
Chief Engineer
emmyta
Jovitha
Ambiere

Nawapenda wengi sana humu
 
Hahaha.. Walai huyu member aitwae kivyako atakuwa na gundu, haha member wote wametajwa ila yeye hajatajwa na hata na member mmoja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…