Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Thanks joaa...i appreciate.
 
Nzuri Nsumba Boy. Juzi nilikuwa Mza nikapaona Nsumba.
Mji umependeza.
Daahh!

Mimi nimejichimbia huku nalinda Makinikia, maana Noah zipo mbioni kuanza kushuka pale Port ili nije nianze kula bata vizuri kwenye jiji la Bashite.

Mwanza nimepamiss sana, mwakani nitaenda kutembelea Mungu akipenda
 
Ubuyu ndiyo nini!? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Bado nasubiria ubuyu kutoka kwako.. unajua unakaushiaga posts zangu nikikusukuma unipe habari nzuri
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…