Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 897
Girl next door
Good Neighbour
Good Neighbour
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah!!
Nimepitia uzi hadi sijatajwa hata kwa herufi ya mwanzo.
Bora niuache moyo wangu usukume damu, maana hiyo ndio hali yake
Big stallion.......jamaa lina msimamo kinyama nampenda mpaka najihisi nakufa(sio mapenzi)
Ahsante sana nami pia mkuu nakukubali zaidi ya sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jini hilo.shauri yakoJuliana Shonza. Napenda urefu wa thread zake. Na zinachangiwa na watu wengi hasa maswahiba wake wa Chadema.
Thanks joaa...i appreciate.Baby Mondray
STUNTER na wifi yangu jje's
Bebe Behaviourist
Daby
The Boss
mshana jr
tamuuuuu
Uncle Hance Mtanashati
QUIGLEY
Wambeke
BIGstallion
Saint Ivuga
Azarel
Asprin
Compact
Miss Chagga
Miss Natafuta
husna muba
Antonio de Guzman
UWOGA=UMASKINI
Eddy Love
Shunie
Michaelray22
Numbisa
Paprika
Inna
Valentina
Chief Engineer
emmyta
Jovitha
Ambiere
Nawapenda wengi sana humu
Nipo vizuri, mzee mwenzangu umenikimbia.Nimebaki na vijana wananisumbua sana
Ayaaa! Nilikusahau. Tatizo choice ni Moja. Nakupenda sana kwa post zako.
Nzuri Nsumba Boy. Juzi nilikuwa Mza nikapaona Nsumba.Habari yako mkuu
Dawa ya jini ndimu, kitimoto, bange, mafuta ya bunduki na kwa wakristo rozali.jini hilo.shauri yako
Nitaje basi Inna.Me ata nisipokutaja unajuaa
Mi nampenda Cajojo[emoji7] [emoji7]Haya ngoja tuwasubiri wakongwe wa humu mtajane tuwafahamu
Daahh!Nzuri Nsumba Boy. Juzi nilikuwa Mza nikapaona Nsumba.
Mji umependeza.
Weye mchochezi siku hizi eh!? Nalijua hili siku nyingi tu.
😛😛😛
Bado nasubiria ubuyu kutoka kwako.. unajua unakaushiaga posts zangu nikikusukuma unipe habari nzuri
😀😀😀