09.12.2019 Mahakama Kuu ilimwachia huru mtuhumiwa wa madawa ya kulevya. Jana 28/4/2023 Mahakama ya Rufaa ikamuona ana makosa ya madawa ya kulevya , ikamtia hatiani na kuamuru arudi /akamatwe afungwe miaka 30/maisha. Je wewe katika hali hiyo utarudi?
Mimi sitarudi yote ya kwangu nyumbani nayasamehe, namuachia Mungu!
Mimi sitarudi yote ya kwangu nyumbani nayasamehe, namuachia Mungu!