JE, WEWE NI FREELANCER NA HUPATI KAZI FIVERR?TUNAWEZA KUKUSAIDIA KUPATA MTEJA WAKO WA KWANZA FIVVERR!

Joined
Jan 15, 2025
Posts
38
Reaction score
27
Habari, Je, wewe ni freelancer mwenye ujuzi wowote ambae umejisajili na kutumia platform ya fiverr lakini hujapata kazi mpaka leo?
Karibu tukusaidie.
Competition ni kubwa Fiverr, You need a good Fiverr gig; we are here to help!

Tunaweza kukusaidia kwa kukutengenezea a good fiverr gig yenye sifa zifuatazo:
  • A professional eye-catching gig
  • A compelling description that captures attention
  • Professional image and videos
  • Competitive prices
  • Highlighted your unique selling point ( USP)
  • A well-searched relevant title
  • An SEO friend gig to increase search visibility and your impressions.
Ili kuhakikisha unapata kazi tutakusaidia ku-build an impressive portfolio and Optimizing your profile.
Lakini pia tunakupa tips zaidi jinsi ya kutumia platform ya fiverr, pamoja na kuhakikisha unapata kazi yako ya kwanza ambayo kimsingi itakusaidia kupata trust.
Aidha tutakusaidia ku-fix makosa yote yaliyopo kwenye profile yako ya fiverr to make it professiona na tutakuwepo na wewe mpaka utakapofanikiwa.

Je unahitaji kupata faida kupitia freelancing?
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano hapa chini.
Watsapp: +255737450640
Email: rmkfreelanceservices@gmail.com
 
Nahitaji elimu zaidi kuhusu hili 😊
 
Was hustling left, right and centre and I ended up signing for Fiver and Upwork. Nina ujuzi wa kuandika kiasi chake, so nikaweka hiyo.

Nikaweka pia kwamba naweza fanya kazi ya kutafsiri.

Sikupata kazi mpaka naachana na zile platforms. Kwanza kazi ya kutafsiri kwenda Kiswahili waKenya wamezishika, na kwakua wao wamekua wa kwanza kwenye hizi international platforms hata wenye kazi wanaamini Kenya ndiyo kuna Kiswahili.

Changamoto nyingine ni kwamba unaweza pata kazi ila mteja anasema anataka alipe kwa Paypal tu. Na kama mnavyojua Tz huwezi kupokea pesa na Paypal. Ila kwakua Kenya mtu anaweza so kwao it's easier.

Hamna kipindi niliishangaa serikali yetu kama kipindi hicho hustling zangu nimezielekeza mtandaoni kwenye international platforms.
 
Mh! this is the nyuki the asali the manundu...🤣
Hizi kazi za kitaifa zinahitaji Uwekezaji Mkubwa ili kuleta maendeleo mjini na vijijini😅ukiwa mlalamishi tu kwisha habari yako
 
Was hustling left, right and centre and I ended up signing for Fiver and Upwork. Nina ujuzi wa kuandika kiasi chake, so nikaweka hiyo.

Nikaweka pia kwamba naweza fanya kazi ya kutafsiri.

Sikupata kazi mpaka naachana na zile platforms. Kwanza kazi ya kutafsiri kwenda Kiswahili waKenya wamezishika, na kwakua wao wamekua wa kwanza kwenye hizi international platforms hata wenye kazi wanaamini Kenya ndiyo kuna Kiswahili.

Changamoto nyingine ni kwamba unaweza pata kazi ila mteja anasema anataka alipe kwa Paypal tu. Na kama mnavyojua Tz huwezi kupokea pesa na Paypal. Ila kwakua Kenya mtu anaweza so kwao it's easier.

Hamna kipindi niliishangaa serikali yetu kama kipindi hicho hustling zangu nimezielekeza mtandaoni kwenye international platforms.
Habari, Castr Pole kwa Changamoto. Ni kweli kuna ushindani mkubwa kwenye hizi platform, hasa kwa niche ambazo wengi huwa wana utalamu nazo ( mfano translation)
Huwa tunashauri kujifunza on high demand skills ambazo hazina wataalamu wengi!
Ikiwa utaamua kutumia ujuzi ambao una ushndani mkubwa basi itabidi ujiandae kwa ushindani huo kwa kuwa mbunifu na commitment ya kutosha.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano hapo juu ikiwa ungependa msaada wowote kutoka kwetu!
 
Back
Top Bottom