Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Chibu is my homieKweli age is just a number......
Hongera nifosie mazingira ya af tatuChibu is my homie
Kweli age is just a number......
Upo late 30 au early 40?Hivi Form five wanaripoti lini...
Mkuu ndo umekuja kunisema huku
akili mnembaKwamba Mondi anagongea Buku kwako.....
Ishukuriwe teknolojia ya kuedit
Mh ase kwani unatumiaga nini kuwaza?
Kamziki kametulia kinyamaa
mbona unakuaga mbabembabe ivyo binti yangu
Mbona kama unanishambulia 😁mbona unakuaga mbabembabe ivyo binti yangu
Alikuwa ni gwiji wa R&B huyo jina lake ni aaliyah ila ameshatangulia mbele za haki kitambo tu akiwa binti mmbichi bado!, wimbo unaitwa Age ain't nothing but a number.Kamziki kametulia kinyamaa