Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
- Thread starter
-
- #21
Kwakuwa alikuwa anampa tunda R Kelly akiwa wamepishana miaka kibaoAlikuwa ni gwiji wa R&B huyo jina lake ni aaliyah ila ameshatangulia mbele za haki kitambo tu akiwa binti mmbichi bado!, wimbo unaitwa Age ain't nothing but a number.
Kabla ya kwenda form five wameambiwa wajiunge JF baadae form five chuo na mwisho VETA.Madogo wa form four hawajapangiwa vituo tu?
😂naona umeshaweka vitu vyako...Mbona kama unanishambulia 😁
Unaweza ukapumguza umbea ndugu..??Kwakuwa alikuwa anampa tunda R Kelly akiwa wamepishana miaka kibao
R Kelly 27 yrs Aaliyah 15
So akaona aandike na wimbo.
Unaweza ukapumguza umbea ndugu..??
On my late 60's sema shikamoo bibiUpo late 30 au early 40?
Okay waachie vijana hizi mambo wewe s . MamaOn my late 60's sema shikamoo bibi