Je wewe ni kijana wa kitanzania elimu kuanzia kidato Cha nne,?na upo Mkoa wa Kagera,Iringa,na Mbeya na unaweza fanya kazi ya Recovery kwa Saccos ?

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Je wewe ni kijana wa kitanzania?
Una umri wa kuanzia miaka 30?
Je una elimu kuanzia kidato Cha sita na kuendelea?
Je una uzoefu wa kufanya kazi ya Ufatiliaji wa Madeni katika vyama vya ushirika? (Recovery?)

Je upo Mkoa wa Mbeya?iringa?na kagera?

Kama maswali yaliyo ulizwa hapo juu una sifa hizo tafadhali wasiliana nasi kupitia DM Ili tuweze kuyajenga.

Endapo utafanikiwa kupewa fursa ya kuungana nasi inabidi utambue yakuwa Malipo ya kazi yanalipwa kutokana na kazi uliyoifanya ni commission bases.
Waliopo katika mikoa iliyotajwa watapewa kipao mbele sana.

Tafadhali NDM Ili nikupe email ya kutuma cv Yako na kupeana taarifa zaidi.
Bila Shaka na wewe ni mmoja wa hao makarani.

Inaonekana una hoja ya msingi unataka kuiwasilisha. Unatakiwa ukae chini utulie halafu upangilie hoja zako vizuri na utumie lugha fasaha ili ueleweke vizuri.

Kama wewe ni mmoja wa hao makarani wa Moshi vijijini, napata mashaka na ubora wa takwimu zitakazo kusanywa na aina ya makarani kama wewe
Kazi ni kazi wakuu!ilimradi iwe
.....
 
Je wewe ni kijana wa kitanzania?
Una umri wa kuanzia miaka 30?
Je una elimu kuanzia kidato Cha sita na kuendelea?
Je una uzoefu wa kufanya kazi ya Ufatiliaji wa Madeni katika vyama vya ushirika? (Recovery?)

Je upo Mkoa wa Mbeya?iringa?na kagera?

Kama maswali yaliyo ulizwa hapo juu una sifa hizo tafadhali wasiliana nasi kupitia DM Ili tuweze kuyajenga.

Endapo utafanikiwa kupewa fursa ya kuungana nasi inabidi utambue yakuwa Malipo ya kazi yanalipwa kutokana na kazi uliyoifanya ni commission bases.
Waliopo katika mikoa iliyotajwa watapewa kipao mbele sana.

Tafadhali NDM Ili nikupe email ya kutuma cv Yako na kupeana taarifa zaidi.

Kazi ni kazi wakuu!ilimradi iwe
.....
Ikiwa Dar au pwani tuwasiliane
 
samahan wakuu kw wakaz w mwanza na kagera huko dagaa znauzwaj kw debe naombeni mxaada wakuu!!!
 
Back
Top Bottom