Mkuu
safuher sitoacha kukushukuru kila siku, ulinifundisha vyema sana ile kanuni ya kula once ukisikia njaa tu tena miss wa wastani, sasa ule "Umelo" nimeuweka pembeni though bado kuna baadhi ya vyakula nimeshindwa kujizuia kula kwa wingi Kutokana na kuwa na mapenzi navyo sana. (Speaking of wali &maharage/njegere 😅)
Matokeo yake sasa naweza kumaintain ile weight ninayoitaka hata pasipo kufanya mazoezi, (nafanya mazoezi nikijisikia tu), hata ninapoongezeka weight huwa nabalance chakula tu then narudi kwenye weight ya muda wote.
Nacheka sanaaa nikikumbuka wakati nakesha gym kukata kitambi na weight huku nikifukia msosi heavy, 😂😂, kazi yote ikawa sawa na bure.
Ubarikiwe sana kwa madarasa yako haya mkuu.
Let's meet at the top, cheers 🍻