Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Kulwa hata kile chakula tunachokipendaga nacho unakula kwa kujisikilizia?
Sijui unasemea kipi manake napenda vyakula vingi,tatizo ni kuchoka kula tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulwa hata kile chakula tunachokipendaga nacho unakula kwa kujisikilizia?
Fanya mazoeziSerious huwa nachoka
Naweza kuwekewa chakula hapo nikala robo ama nusu ya sahani...nikishahisi njaa imeisha nachoka kuendelea na mood ya kula inakata🤣🤣
Mie sio mlaji tangu mwanzoFanya mazoezi
Hii hali nilikuwa nayo sikujua kama ni tatizo mpaka nilipokuja kufanya kazi fulani ngumungumu na wachina ndio nikawa nakula chakula hadi mke wangu akadhani nina mapepo
Fanya tu mazoezi ya kawaida hata kukimbia walau kilomita moja kila siku asubuhi utaona mabadiliko makubwa mazuri.Mie sio mlaji tangu mwanzo
Hata hivyo sijaona tatizo hadi sasa la ulaji wangu,sio mwembamba sana wala sina ile hali ya kuonekana nakosa chakula
Nature ya kazi yangu ni ya kutumia zaidi akili japo sio ngumungumu
Ni vile tu sijazoea/siwezi kula sanaaaaaa lakini nakula kila siku.....siwezi kukaa na njaa
Hahahahh sipendi mazoezi aseeFanya tu mazoezi ya kawaida hata kukimbia walau kilomita moja kila siku asubuhi utaona mabadiliko makubwa mazuri.
Inatakiwa wakati wa kula ukifurahie chakula na sio unakula kama adhabu 😊
Kukifurahia chakula sio lazima ule sana ila ule ushibeHahahahh sipendi mazoezi asee
Nikikimbia maziwa na hipsi zinauma kinyama
Kwani kukifurahia chakula ni lazima ule sana e?huwezi kufurahia chakula ukala kidogo?
Kukifurahia chakula sio lazima ule sana ila ule ushibeHahahahh sipendi mazoezi asee
Nikikimbia maziwa na hipsi zinauma kinyama
Kwani kukifurahia chakula ni lazima ule sana e?huwezi kufurahia chakula ukala kidogo?
Unaweza kula kidogo ukaridhika piaKukifurahia chakula sio lazima ule sana ila ule ushibe
Ilw
Ndio upunguze kula sasa.Kwa jinsi ninavyopenda kula Sana na kujamba Sana nimeogopa Hadi kusoma hii post kichwa Cha habari kimenitisha.
Yes sahihi kabisa.Unaweza kula kidogo ukaridhika pia
Ni maumivu ya kawaida hasa hasa ukiwa umejazia kidogo au hujafanya mazoezi kitambo kirefu sanaa.Hahahahh sipendi mazoezi asee
Nikikimbia maziwa na hipsi zinauma kinyama
Kwani kukifurahia chakula ni lazima ule sana e?huwezi kufurahia chakula ukala kidogo?
Mazoezi sijawahi kufanya kabisaNi maumivu ya kawaida hasa hasa ukiwa umejazia kidogo au hujafanya mazoezi kitambo kirefu sanaa.
Tafsiri ya jamaa imenifanya nicheke sana! Tonge moja halafu unanawa mikono!Hukumuelewa dokta.
Ukubwa wa ngumi haupimwi na kile kinachotengenezwa ndani ya ngumi.
Ukubwa wa ngumi hupimwa mkono mzima kwa umbo lake nje.
Wewe sema unataka ku maintain ki English figure tu.Hahahah naona yuko sawa
Sometimes huwa naona kula ni kama usumbufu,ni vile tu njaa inasumbua
kitambi kinakujaje wakati chakula hicho pamoja na wingi wake hakidumu zaidi ya masaa matatu, kambini kila baada ya masaa matatu mafiga yanafuka moshiMuhuni huyo.mtazame dk ndodi kitambi kama mimba ya mapacha