Je, wewe ni mlaji kupindukia na unashindwa kuacha tabia hiyo? Soma hapa uwaidhike

Mkuu safuher sitoacha kukushukuru kila siku, ulinifundisha vyema sana ile kanuni ya kula once ukisikia njaa tu tena Kwa wastani, sasa ule "Umelo" nimeuweka pembeni though bado kuna baadhi ya vyakula nimeshindwa kujizuia kula kwa wingi Kutokana na kuwa na mapenzi navyo sana. (Speaking of wali &maharage/njegere 😅)

Matokeo yake sasa naweza kumaintain ile weight ninayoitaka hata pasipo kufanya mazoezi, (nafanya mazoezi nikijisikia tu), hata ninapoongezeka weight huwa nabalance chakula tu then narudi kwenye weight ya muda wote.

Nacheka sanaaa nikikumbuka wakati nakesha gym kukata kitambi na weight huku nikifukia msosi heavy, 😂😂, kazi yote ikawa sawa na bure.

Ubarikiwe sana kwa madarasa yako haya mkuu.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Serious huwa nachoka
Naweza kuwekewa chakula hapo nikala robo ama nusu ya sahani...nikishahisi njaa imeisha nachoka kuendelea na mood ya kula inakata🤣🤣

😂maajabu hayawezi isha duniani, wakati wengine tunapambana kupunguza "umelo" kuna watu mna uvivu wa kula lol, sipati picha nyakati za utoto ulivyosumbua kula.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Pamoja sana mkuu nashkuru kwa mrejesho wako.

Ile formula imekuwa na mrwjesho mzuri kwa baadhi ya washkaji zangu hata ndugu zangu.

Changamoto ni pale mchana umekula ugali na usiku kuna kuku supu na chapati na njaa hauna,hapo ni changamoto sana kumuacha kuku kisa huna njaa.

Hapo cha kufanya ni kula kwa wastani tu ili uidanganye nafsi kisha unaacha
 
😂maajabu hayawezi isha duniani, wakati wengine tunapambana kupunguza "umelo" kuna watu mna uvivu wa kula lol, sipati picha nyakati za utoto ulivyosumbua kula.


Let's meet at the top, cheers 🍻

Utotoni nilisumbua kweli
Ili nile ilikuwa wanatafuta mjusi ama mvunja chungu manake ndio vitu naogopa

Angalau sasa hamu ya kula ninayo
 


😅😅 Kwa vyakula 80% nimeweza kumaintain, vitu pekee nilivyofail kumaintain (sina mpango wa kuacha) ni 🍻 lol , utakuta nimebalance vizuri tu menyu mchana kutwa ila ikifika jioni naharibu kila kitu kwa beer though najitahidi sana kupunguza intake yake per day.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Muhuni huyo.mtazame dk ndodi kitambi kama mimba ya mapacha
 
Hahhaa jitahidi tu mkuu.

Kumbuka pia kula kushiba ndindindi unatanua tumbooo kidogo kidogo,yaani ni gym ya misuli ya tumbo baadae tumbo linatanuka taratibu
 
mim huwa najifunza sanankwa watoto.mtoto anakulaaa akishibaa tu anaacha hapo hapo.
sasa unakuta mtu umepakua kias mtu anashngaa mbona kidgo.nashngaa naga sana na utu uzima huu ila nina mwil wastan na kilo 60
You must be looking good,are you married?
 
Utotoni nilisumbua kweli
Ili nile ilikuwa wanatafuta mjusi ama mvunja chungu manake ndio vitu naogopa

Angalau sasa hamu ya kula ninayo

Shukuru sana Mungu, maradhi yatokanayo na intake kubwa ya chakula umeyaepuka hapo.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
na kwa mimi ambaye sipati hamu ya kula nachangia wap?
mm nakula ili niishi... kiufupi sipendi kula.
"kama tumbo lingekuwa na zipu nngekuwa nafungua zipu kisha natupia chakula humo then nafunga zipu.

SIPENDI KULA...
 
na kwa mimi ambaye sipati hamu ya kula nachangia wap?
mm nakula ili niishi... kiufupi sipendi kula.
"kama tumbo lingekuwa na zipu nngekuwa nafungua zipu kisha natupia chakula humo thwn nafunga zipu.

SIPENDI KULA...
Bila shaka umeona pakuchangia.
 
Hua na practice intermittent fasting. Ni nzuri sana haina haja ya diet wala nini. Vyakula vyote nakula na uzito hauongezeki.
 
Asante mkuu
 
Serious huwa nachoka
Naweza kuwekewa chakula hapo nikala robo ama nusu ya sahani...nikishahisi njaa imeisha nachoka kuendelea na mood ya kula inakata🤣🤣
Kulwa hata kile chakula tunachokipendaga nacho unakula kwa kujisikilizia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…