Je, wewe ni mlaji kupindukia na unashindwa kuacha tabia hiyo? Soma hapa uwaidhike

Serious huwa nachoka
Naweza kuwekewa chakula hapo nikala robo ama nusu ya sahani...nikishahisi njaa imeisha nachoka kuendelea na mood ya kula inakata🤣🤣
Labda nalo ni tatizo mkuu.siku ukipigwa na kahoma kanakoondoa hamu ya kula si ndiyo utabebwa.

Kula pia inategemea unakula chakula cha aina gani.
 
Labda nalo ni tatizo mkuu.siku ukipigwa na kahoma kanakoondoa hamu ya kula si ndiyo utabebwa.

Kula pia inategemea unakula chakula cha aina gani.
Nakula sana wali maini
Kila siku lazima ninywe maziwa fresh,korosho hazijawahi kukosa baada ya chakula

Nakula sana karoti hasa usiku na michemsho ya viazi nyama na mchicha

Nikiumwa huwa nakosa kabisa hamu ya kula
 
Wala simantain

Kitu pekee nachopinga kwenye mwili wangu ni kitambi tu
Kuna bidada mmoja nilikuwa namtania namwambia anaruhusiwa kupungua mwili mzima kasoro huku nyuma tu Masantula ngoma ya mpwita asipungue.
 
Reactions: amu
Kuruti wa Mungu wakiona huu Uzi hawakuelewi kabisa,kuna vitu ukifanya lazima ule sana!
 
Mimi na uhusiano.mbaya Sana nachakula....yote yalianza baada ya kuandikiwa Dawa aina ya reperidone.. Dooooh. Nlinenepa Sana Sana Sana..nikapata kitambi ambacho hadi leo sijui nakifanyaje nlitoka kilo 64 Hadi 94... Saiv ndo nazipunguza taratibu nikiwa na kilo 80..
.kitambi kinaaribu Sana umbo langu...

Napambana japo appetite yakula Ni kuubwa.
 
Taratibu utafanikiwa
 
Tittle imeandikwa wakati umevimbiwa
 
Kwahiyo kunyoa inabidi upate usaidizi🙈

Nauliza tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…