je, wewe ni Mliberali au Mhafidhina?

Kichwa cha thread mliberari na mhafidhina. Maelezo liberals na conservatives. Ndio maana Faiza Foxy anawauliza kama mmeenda shule
 
Unasapoti lgbtq?
Uliberali sio kusapoti LGBTQ
Hayo mambo yalianza toka kipind cha sodoma na gomora,

Uliberali ni kuamin katika freedom, watu wajitume wafanye kazi wanavyotaka bila mipaka, usiweke mipaka mingi isiyokuwa na maana,

Btw, binadamu lazima at certain point afungwe break,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…