Je wewe ni mtaalamu wa afya na ungependa kufanya kazi ya kimataifa nje ya nchi? 🇬🇧 🇺🇸 🇦🇺

Je wewe ni mtaalamu wa afya na ungependa kufanya kazi ya kimataifa nje ya nchi? 🇬🇧 🇺🇸 🇦🇺

jembe_jembe

Senior Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
185
Reaction score
66
Habari wanajamvi

Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba.

Hiyo inapelekea kukata tamaa, majuto na msongo wa mawazo.

Kwa upande mwingine, nchi zilizoendelea kama Uingereza 🇬🇧 Marekani 🇺🇸 Canada na Australia 🇦🇺 zikiwa na uhaba na uhitaji mkubwa mno wa nguvu kazi ya taaluma hizo.

Nini basi tunaweza tukafanya kujikwamua na hii changamoto?

Ukijaza fomu hii Je, umeridhika na kazi yako? ukaandika na anwani yako ya barua pepe, utapata mwongozo wa moja kwa moja wa fursa za kazi za kimataifa.

N.B: Walengwa ni wataalamu wa afya kama madaktari (MD and above), manesi (Diploma in nursing holders and above), wafamasia
(B.Sc Pharm), Physiotherapists, Occupational therapists

Wasalaam
Dr Kay
MD, GPST
Kent, UK 🇬🇧
 
Mkuu naona unataka ujaziwe dodoso la utafiti kijanja.

Kila la kheri mkuu kwa ubunifu
 
Uko unafanya research ila ulivyofanya sio sahii badili mbinu
 
Back
Top Bottom