Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Mmh,ila mi hapa sikumuongelea mwalimu!
Mi naongea kulingana na biblia imesema nn!


JESUS IS LORD[emoji120]
 
Kuzaliwa wa kwanza ni lango la baraka yaani utumishi na utajiri na siyo majukukmu ya kulea wazazi na wadogo zako
 
Mimi ni watatu kuzaliwa, walionitangulia wawili ni wakiume, je MI mzaliwa wa kwanza?
Hapana ww sio mzaliwa wa kwanza.. though under rare circumstances unaweza pata Neema alizotakiwa awenazo mtoto wa kwanza..
ila unaweza bata naraka kupitia mzaliwa wa kwanza halafu yeye akabaki mweupeee hana kitu
 
Mmh,ila mi hapa sikumuongelea mwalimu!
Mi naongea kulingana na biblia imesema nn!


JESUS IS LORD[emoji120]
Ok ila nilichojifunza kuwa unaposoma biblia ni muhimu kuangalia nyakati-kabla ya Yesu na baada, na biblia nzima kiini chake ni kristo( agano la kale/jipya) , na Yesu mwenyewe alisema yote yaliyotabiriwa na manabii na torati yalikuwa yanamuhusu yeye na YAMETIMIA, neno linasema kinachozaliwa na Mungu ni akitendi dhambi- kumbuka ww una Roho wa Mungu ndani yako, so ww ni una asili ya Mungu ndani yako hamna maswala ya laana wala nn, inabidi ujijue ww n nani toka kweny neno laMungu afu kuwa na imani kweny ilo neno ktk ufahamu/nia yako.
 
Hakika mi nimesikia kinyume na hayo, sikuwahi sikia watoto wa kwanza wanamaisha vulnrable ila nilichoskia ni kuwa wazaliwa wa kwanza wamekomaa kiakili ni respinsible na ni leaders wa asili

Suala la wazaliwa wa kwanza kuwa na mibaraka kuliko wengine hilo ni la kizamani enzi hizo labda na siku hizi kwenye familia za kifalme ndo wanahesabika kama warithi. Ila kwa dunia yetu myingine huku wote tuko sawa hakuna special.
 
Zeendaya ulisikia wapi hayo ulosikia.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…