Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Kuna mtu kwenye Bible nazani Esau na Yakobo , Esau aliuza uzaliwa wake wa kwanza kwa Yakobo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh,ila mi hapa sikumuongelea mwalimu!Sikia dada angu , hayo mafundisho ya mwakasege nayajua na nilikuwa huko kabla sijaujua ukweli na nashindwa kukuelezea ila unapomuamini Yesu, unafanywa kiumbe kipya, kiroho haui yule wa zamani tena, unakaliwa na roho mtakatifu, na Yesu ndio mzaliwa wa kwanza kwa viumbe vipya vyote, ww tena sio wa kimwili ni wa kiroho ila kama huna maarifa ndo utaenenda kimwili. Ukipata muda ingia youtube msikilize mwalimu huruma gadi au pastor ceaser masisi.
Yes hata Reuben alinyanganywa haki yake ya uzaliwa wa kwanza ikaenda kwa YudaKuna mtu kwenye Bible nazani Esau na Yakobo , Esau aliuza uzaliwa wake wa kwanza kwa Yakobo
Sent using Jamii Forums mobile app
yes ESAUKuna mtu kwenye Bible nazani Esau na Yakobo , Esau aliuza uzaliwa wake wa kwanza kwa Yakobo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni watatu kuzaliwa, walionitangulia wawili ni wakiume, je MI mzaliwa wa kwanza?Poleni sana na hongereni mnakweza kubeba majukumu kama mzaliwa wa kwanza
Hapana ww sio mzaliwa wa kwanza.. though under rare circumstances unaweza pata Neema alizotakiwa awenazo mtoto wa kwanza..Mimi ni watatu kuzaliwa, walionitangulia wawili ni wakiume, je MI mzaliwa wa kwanza?
My apology brooh..ahsante bro..
ila hilo jina silipendi asilani
Ok ila nilichojifunza kuwa unaposoma biblia ni muhimu kuangalia nyakati-kabla ya Yesu na baada, na biblia nzima kiini chake ni kristo( agano la kale/jipya) , na Yesu mwenyewe alisema yote yaliyotabiriwa na manabii na torati yalikuwa yanamuhusu yeye na YAMETIMIA, neno linasema kinachozaliwa na Mungu ni akitendi dhambi- kumbuka ww una Roho wa Mungu ndani yako, so ww ni una asili ya Mungu ndani yako hamna maswala ya laana wala nn, inabidi ujijue ww n nani toka kweny neno laMungu afu kuwa na imani kweny ilo neno ktk ufahamu/nia yako.Mmh,ila mi hapa sikumuongelea mwalimu!
Mi naongea kulingana na biblia imesema nn!
JESUS IS LORD[emoji120]
Eeh...First borns tupo kikao hapa [emoji1787]pardoned
im humbled to see you here bro
Truth to be told
Zeendaya ulisikia wapi hayo ulosikia.?Hakika mi nimesikia kinyume na hayo, sikuwahi sikia watoto wa kwanza wanamaisha vulnrable ila nilichoskia ni kuwa wazaliwa wa kwanza wamekomaa kiakili ni respinsible na ni leaders wa asili
Suala la wazaliwa wa kwanza kuwa na mibaraka kuliko wengine hilo ni la kizamani enzi hizo labda na siku hizi kwenye familia za kifalme ndo wanahesabika kama warithi. Ila kwa dunia yetu myingine huku wote tuko sawa hakuna special.