HahahahaAhsante kwa ukumbusho
Ila kwenye yesu mtoto wa Joseph sijaelewa!
client3 ent3 jibu hili swali pleaseAkhsante kwa uzi murua ..Hebu liweke sawa hilo la mzaliwa wa kwanza,kuna mkanganyiko maana unaweza kuta mama aliolewa mara mbili na kila mtoto akawa wa kwanza kwa baba yake au baba ana wake wawili na kila make ana mtoto wa kwanza.je hapo tunampataje mzaliwa wa kwanza kwenye familia kama hizo?
Au mzaliwa wa kwanza anatoka kwa baba au mama?
Naomba kuwasilisha
Kweli kabisa yote hutokea na namna malezi ya watoto yalivyo....namshukuru Mungu baba yetu alikuwa mtu aliyemtumainia Mungu,alilea watoto katika Imani na kutusaidia kufikia malengo,wote Mungu katuinua,hakuna aliye mzigo kwa mwenzake,mzaliwa wa Kwanza kasimama na YESU hakuna kuteseka bali YESU kawa kiongozi wa familia yetu...nashukuru wazazi wote wawili kusimama na sisi kimwili na kiroho..AmenKila mtu kwa Mungu ana hadhi sawa. Tofauti zinazoweza kuwa za vipaji zina lengo la kutajirishana kwa manufaa ya wote.
Hakuna mtu bora kwa maana ya hadhi ya binadamu kwa Mungu.
Mawazo kwamba wazaliwa wa kwanza ni potential au hawafanikiwi katika uchumi nakadhalika hayana ukweli wowote; ni hisia tu.
Mungu amemuumba mtu kwa lengo moja tu, mtu amjua, ampenda na amtumikie.
Kuna vitu vinavyofanya mtu awe potential au kinyume chake. Katika hivyo vitu wazazi wakichukuwa nafasi ya kwanza na jamii ndio huandaa mwelekeo wa mtoto.
Hapa kuna suala la elimu, mafundisho na uelewa wa mambo. Elimu, mafundisho na uelewa mambo ukikosekana watoto huangamia.
Na Hilo inategemeana unamtumainia vipi Mungu wako,maana Kama hujamuita asimame na wewe Kama lango Bali lango unaendeshwa na nguvu za giza na tamaa za ulimwengu huo,uzaliwa wa Kwanza wenye nguvu ya Mungu utatoa wapi? Yapo malango au wazaliwa wa Kwanza waliosimama na YESU angalia walivyobarikiwa,hili neno ukilichukulia kiroho utafunguliwa,ukichukulia kimwili utaishia kulalamika katika nafasi yako..Kuzaliwa wa kwanza ni lango la baraka yaani utumishi na utajiri na siyo majukukmu ya kulea wazazi na wadogo zako
Samahani ivi nabii au mitume wa Mungu wana cheo kikubwa kwa Mungu kuliko waamin wengine?Na Hilo inategemeana unamtumainia vipi Mungu wako,maana Kama hujamuita asimame na wewe Kama lango Bali lango unaendeshwa na nguvu za giza na tamaa za ulimwengu huo,uzaliwa wa Kwanza wenye nguvu ya Mungu utatoa wapi? Yapo malango au wazaliwa wa Kwanza waliosimama na YESU angalia walivyobarikiwa,hili neno ukilichukulia kiroho utafunguliwa,ukichukulia kimwili utaishia kulalamika katika nafasi yako..
Kati ndio ulevi wako wala huwezi kuacha.[emoji1][emoji1]Mimi Ni mzaliwa wa kwanza Vita ninavyopigana kwenye Hilo life MUNGU tu anajua.
Naamini nitashinda soon maana mimi akili ninayo sio kilaza
Sio mnywaji
sio mlevi
Sijawahi vuta hata kipisi Cha sigara
Ila shida yangu iko pale Kati patamu [emoji2]
Kwakweli MUNGU nipiganie niachane na hij kitu[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah daah aiseeKati ndio ulevi wako wala huwezi kuacha.[emoji1][emoji1]
Hakuna utofauti kabisa isipokuwa wote wanatakiwa kumwabudu Mungu katika roho na kweli.hata hao waamini wengine Kuna kitu ambacho kwa nafasi waliyopo wanasaidia katika kutenda kazi ya Mungu..cha msingi ni Imani iende sanjari na matendo...hicho ndicho kipimo cha mkristo yoyote haijalishi anakazi gani katika shamba la Mungu...Samahani ivi nabii au mitume wa Mungu wana cheo kikubwa kwa Mungu kuliko waamin wengine?
Imani iende sanjari na matendo yapi? Na ivi Mungu kusema kuwa katuwekea roho wake ndani yetu na anatuongoza kwa njia ya roho wake, unaelewaje?Hakuna utofauti kabisa isipokuwa wote wanatakiwa kumwabudu Mungu katika roho na kweli.hata hao waamini wengine Kuna kitu ambacho kwa nafasi waliyopo wanasaidia katika kutenda kazi ya Mungu..cha msingi ni Imani iende sanjari na matendo...hicho ndicho kipimo cha mkristo yoyote haijalishi anakazi gani katika shamba la Mungu...