naona kama umejiona ww vile hapo kwenye uzi yaliloongelewa ndo unayopitia muda huuMkuu umenigusa kabisa
sema ule uzi wako mwingine sijui umetumia lugha gani maana si Kiswahili wala Kingereza hakielewekiPamoja Sana mate
mwanadamu yoyote, inatakiwa amuabudu muumba wake kwa roho na kweliHakuna utofauti kabisa isipokuwa wote wanatakiwa kumwabudu Mungu katika roho na kweli.hata hao waamini wengine Kuna kitu ambacho kwa nafasi waliyopo wanasaidia katika kutenda kazi ya Mungu..cha msingi ni Imani iende sanjari na matendo...hicho ndicho kipimo cha mkristo yoyote haijalishi anakazi gani katika shamba la Mungu...
yap hata gold lazma ipitie moto mkali ili ikamilike...Pole sana mate.. bu I'm sure you'll get out through this
Thanks Bro!Pole ndugu.. nothing last forever usijali