Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Hakuna utofauti kabisa isipokuwa wote wanatakiwa kumwabudu Mungu katika roho na kweli.hata hao waamini wengine Kuna kitu ambacho kwa nafasi waliyopo wanasaidia katika kutenda kazi ya Mungu..cha msingi ni Imani iende sanjari na matendo...hicho ndicho kipimo cha mkristo yoyote haijalishi anakazi gani katika shamba la Mungu...
mwanadamu yoyote, inatakiwa amuabudu muumba wake kwa roho na kweli
 
Nice one,dah napita magumu sana but sitetereki najua kesho yangu nzuri sana.
 
“Baadae atamletea vikwazo kama kutokujiamini, aibu,kutokuweza kuongea/kujieleza,hofu na uoga”

Imekuwa Tatizo kubwa Kwangu Nashndwa niliepuke kivipi
 
Rest In Peace brother
FB_IMG_15988090808103896.jpg
 
Mada nzuri sana hii,hata kwa sisi wazazi inatuhusu...
 
Bro, I didn't know you!
But you really touched me with your courage ❤️ now I understand why you cried in this interview. Rest Easy beneath the groly of God..
We will never see your likes..
I will always honor your legacy bro..
Rest In Peace Chadwick
 
Back
Top Bottom