Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Kama wa kwanza alikufa nikaja mimi je mie ni wa kwanza pia au marehemu ndiyo wa kwanza
 
Soma hapa mkuu
 
Sijafanikiwa kusoma andiko lote lakini nikaishia kutawaliwa na maswali haya

1: vipi kwa BABA ambaye maisha yake kabla ya ndoa amekua akipiga punyeto, je mtoto wa kwanza atahesabiwaje...
2: Kama mbegu za BABA zitahesabiwa zile zilizotunga mimba kwa mara ya kwanza, vip kama mama amekua akitoa mimba kadha kabla ya kuamua kuzaa mtoto wa kwanza?

Maisha yamebadilika sana, yanaenda kasi mno, na pia imani yangu ni kwamba kila mmoja wetu ana nadharia katika mambo husika, hivyo si vema kutoa hitimisho kwamba jambo fulani liko kama unavyosema kwaku hakuna mwenye hakika, hasa mambo ya kiimani ambayo kuyathibitisha ni tatizo.

Kwa nadharia yangu naamini hakuna mtu anayejua chochote, nadharia/dhana ndiyo inatuongoza
 
Kwanza umenichekesha sana, hafu mkuu umeuliza maswali lakini ukatoa hitimisho yako. Inaoneaha jinsi gani una mrengo wako katika swala hii, jaribu kusimama kwenye neutral zone hafu tujifunze wote kwa pamoja
 
Kwanza umenichekesha sana, hafu mkuu umeuliza maswali lakini ukatoa hitimisho yako. Inaoneaha jinsi gani una mrengo wako katika swala hii, jaribu kusimama kwenye neutral zone hafu tujifunze wote kwa pamoja
Kila mtu huwa ana upande, hata kama hatoonesha, ila majibu yakko yatazidi kunirudisha kwenye nyutro..... nayasubiri
 
Mkuu mtu akipaga punyeto anaweza kugunguliwa kesi ya mauaji??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…