Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #341
Daaah mkuu tafadhali nenda kavunje hizo roho..mababu zako wamewatoa wazawa wa kwanza kwa mizimu hivyo basi usipochukua hatua ya kuvunja roho hizo itaendelea hadi kwa wanao.Nilikuwa najiuliza hivi ni kwanini kwenye ukoo wetu kila mtoto wa kwanza lazima afe.
Mm mwenyewe ni wapili kuzaliwa kwenye familia na inamaana wa kwanza alikufa na mm wenyewe nimekuwa kwa misukosuko mingi sana. na mtoto wangu wa kwanza alifariki.
Na bado nina marafiki zangu kibao watoto wao wa kwanza hawako sawa kiakili na kimwili.